Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.

Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na wapizani wakubwa wa CCM lakini amekuwa kwenye kamati kuu kwa miaka 10 kwahiyo ukisema atujapoteza awezi kuwa sawa".

Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Kuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.

Msigwa alikuwa CHADEMA akisimamia nini katika uamini wake. Sasa kahamia CCM kwa msimamo upi wa imani yake katika siasa za nchi hii?

Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
 
Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.

Msigwa anazunguka kila mahali kukitukana chama halafu unasema ni mtu mhimu ?.
 
Ataachaje kusifia na wakati ana shida ya kununuliwa gari?anaweza kuambulia Chochote kitu
 
Video hapo juu imeonyesha akiyazungumzia haya. Aachane kabisa na Msigwa kwani kinaweza kuwa chanzo cha kumdhoofisha yeye Tundu Lissu mwenyewe.
 
Kwanini huwa hampendi ukweli usemwe?
 
Ataachaje kusifia na wakati ana shida ya kununuliwa gari?anaweza kuambulia Chochote kitu
Imebidi nichungulie umejiunga lini JF, mkuu 'Andrew23', kwani sijawahi kukutana nawe humu.

Sababu kuu ya mimi kufanya hivyo ni jinsi ulivyo andika hapo juu.
Uzuri wa JF, kila mtu anakuja na ya kwake; lakini kwa maoni yangu ni kuwa haya ya kwako ni ya kiwango cha chini sana; hata kama ulikuwa unapigania maslahi ya CCM.
 
Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Unataka wewe ndiye umlishe maneno ya kusema? Anasema kile anachojisikia yeye, siyo unavyojisikia wewe.
Mwache atumie uhuru wake wa kidemokrasia
 
Video hapo juu imeonyesha akiyazungumzia haya. Aachane kabisa na Msigwa kwani kinaweza kuwa chanzo cha kumdhoofisha yeye Tundu Lissu mwenyewe.
Kaulizwa swali kuhusu msigwa na busara inabidi alijibu swali hilo,kumbuka yupo kwenye kipindi so alitoa ushirikiano kwa kujibu swala hilo.

Shida iko wapi wazee ?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.

Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na wapizani wakubwa wa CCM lakini amekuwa kwenye kamati kuu kwa miaka 10 kwahiyo ukisema atujapoteza awezi kuwa sawa".

Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Issue is not kuondoka, the issue is: Kuondoka kwake chadema imeteteleka?
 
Lissu ni mkweli na ndio maana anaaminiwa na wengi. Muhimu ni kuyasema hayo ili chama kiwe kwenye mstari kiendelee kuwavutia wenye maadili na wenye nia njema ya kuisaidia Tanzania isonge mbele kimaendeleo.
 
Kuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.

Msigwa alikuwa CHADEMA akisimamia nini katika uamini wake. Sasa kahamia CCM kwa msimamo upi wa imani yake katika siasa za nchi hii?

Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Wewe ndo huelewi muktadha wa jambo husika hadi Musigwa kutajwa. Kiufupi Lissu alikuwa akihojiwa live na mwandishi kupitia Star TV na swali aliloulizwa ni jinsi gani yeye alijisikia pale kada mwenzake Musigwa kuhamia CCM. Ungelikuwa wewe ungejibuje swali chokonozi kama hilo?
 
Umeliweka vizuri sana hili mkuu 'Bhikalamba' na bila kejeli au mihemuko. Nitapenda sana kukujibu mara moja hapa kwa kifupi sana; na naomba unielewe vizuri.

Mtu Kama Lissu kwa sasa ndiye anaye onekana kuwa mwanasiasa (?) usioyumba hovyo hovyo, yaani mwenye uamini wa anacho kisimamia. Hayumbi hovyo hovyo kufuatana na upepo unavyo vuma. Anaamini juu ya maslahi ya nchi na wananchi wake. Nami ninamwamini kwa msimamo wake huo kwa sasa kuliko mwanasiasa(?) mwingine yeyote ninayemfahamu sasa hivi.
Kwa hiyo, kuwa mkweli katika nafsi yake ni turufu mhimu sana kwake sasa hivi.

Kuondoka kwa Msigwa kunge muumiza Lissu kama alivyo sema, iwapo Msigwa angeondoka ndani ya chama na kutulizana kidogo badala ya mara moja hiyo hiyo kukimbilia CCM na kuanza hapo hapo kurusha tope juu ya chama alichokuwa siku zote akikipigania (kwa uongo)! Kwa kufanya hivyo, Msigwa alikiuka kila aina ya uaminifu ambayo Tundu Lissu anajaribu kuuonyesha kwa waTanzania, kwamba nchi hii bado wapo watu wanaoweza kuaminika kwa jambo wanalo lisema na kuliliamini na kulisimamia; siyo kwa maneno matupu.

Msigwa haaminiki. Hana tofauti yoyote na wengi waliopo CCM na najuwa wengi sana huko CHADEMA.

Angejieleza kwa njia yake hivyo hivyo ange eleweka vizuri tu na walio kuwa wakimsikiliza. Mimi nilikuwa sisikilizi. Maoni yangu hapa ni kutokana na yanayowasilishwa kwenye mada.

Sasa natumaini utanielewa, ingawaje ni vigumu kulieleza hili haraka haraka kwa mtiririko wa maandishi.
Nipe mrejesho ulivyo nielewa wewe.
 
Huwa mnasema siasa si uadui ila nadhani Ccm na Chadema ni maadui, mtu akihama kutoka chama kimoja na kuhamia chama kingine kati ya hivyo viwili utaona mashabiki wa hicho chama alichohama wanavyomshambulia na huyo mhamaji nae anashambulia chama alichotoka.
 
Back
Top Bottom