Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.
Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na wapizani wakubwa wa CCM lakini amekuwa kwenye kamati kuu kwa miaka 10 kwahiyo ukisema atujapoteza awezi kuwa sawa".
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.Kuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.
Msigwa alikuwa CHADEMA akisimamia nini katika uamini wake. Sasa kahamia CCM kwa msimamo upi wa imani yake katika siasa za nchi hii?
Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Hajakosea, kila mtu huwa mhimu kwa wakati wake. Ndiyo maana ya neno alikuwa mhimu kwa sasa siyo. Kakosea nn hapo?Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.
Ataachaje kusifia na wakati ana shida ya kununuliwa gari?anaweza kuambulia Chochote kituKuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.
Msigwa alikuwa CHADEMA akisimamia nini katika uamini wake. Sasa kahamia CCM kwa msimamo upi wa imani yake katika siasa za nchi hii?
Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Video hapo juu imeonyesha akiyazungumzia haya. Aachane kabisa na Msigwa kwani kinaweza kuwa chanzo cha kumdhoofisha yeye Tundu Lissu mwenyewe.Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.
Msigwa anazunguka kila mahali kukitukana chama halafu unasema ni mtu mhimu ?.
Kwanini huwa hampendi ukweli usemwe?Kuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.
Msigwa alikuwa CHADEMA akisimamia nini katika uamini wake. Sasa kahamia CCM kwa msimamo upi wa imani yake katika siasa za nchi hii?
Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Imebidi nichungulie umejiunga lini JF, mkuu 'Andrew23', kwani sijawahi kukutana nawe humu.Ataachaje kusifia na wakati ana shida ya kununuliwa gari?anaweza kuambulia Chochote kitu
Ukweli unao wewe. Wengine hawawezi kuwa na ukweli?Kwanini huwa hampendi ukweli usemwe?
Unataka wewe ndiye umlishe maneno ya kusema? Anasema kile anachojisikia yeye, siyo unavyojisikia wewe.Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Amesema kweli.Unaandikaje Uongo.
Kaulizwa swali kuhusu msigwa na busara inabidi alijibu swali hilo,kumbuka yupo kwenye kipindi so alitoa ushirikiano kwa kujibu swala hilo.Video hapo juu imeonyesha akiyazungumzia haya. Aachane kabisa na Msigwa kwani kinaweza kuwa chanzo cha kumdhoofisha yeye Tundu Lissu mwenyewe.
Issue is not kuondoka, the issue is: Kuondoka kwake chadema imeteteleka?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.
Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na wapizani wakubwa wa CCM lakini amekuwa kwenye kamati kuu kwa miaka 10 kwahiyo ukisema atujapoteza awezi kuwa sawa".
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Wewe ndo huelewi muktadha wa jambo husika hadi Musigwa kutajwa. Kiufupi Lissu alikuwa akihojiwa live na mwandishi kupitia Star TV na swali aliloulizwa ni jinsi gani yeye alijisikia pale kada mwenzake Musigwa kuhamia CCM. Ungelikuwa wewe ungejibuje swali chokonozi kama hilo?Kuendelea kumzungumzia mtu aliye kiacha chama kwa kelele nyingi huku akihamia alikokuwa akipaponda miaka yote na kuanza kuponda aliko tokea ni kupoteza muda na kuonyesha kujichanganya.
Msigwa alikuwa CHADEMA akisimamia nini katika uamini wake. Sasa kahamia CCM kwa msimamo upi wa imani yake katika siasa za nchi hii?
Msigwa siyo mtu wa kumzungumzia tena ndani ya CHADEMA. Hili lina mshushia heshima Tundu Lissu. wakati huu. Aachane na habari za Msigwa.
Umeliweka vizuri sana hili mkuu 'Bhikalamba' na bila kejeli au mihemuko. Nitapenda sana kukujibu mara moja hapa kwa kifupi sana; na naomba unielewe vizuri.Wewe ndo huelewi muktadha wa jambo husika hadi Musigwa kutajwa. Kiufupi Lissu alikuwa akihojiwa live na mwandishi kupitia Star TV na swali aliloulizwa ni jinsi gani yeye alijisikia pale kada mwenzake Musigwa kuhamia CCM. Ungelikuwa wewe ungejibuje swali chokonozi kama hilo?