LGE2024 Tundu Lissu: Kupata wagombea 380,000 Serikali za Mtaa ni changamoto kubwa

LGE2024 Tundu Lissu: Kupata wagombea 380,000 Serikali za Mtaa ni changamoto kubwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

KwetuKwanza

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
82
Reaction score
150
Ni kweli, unawapataje ukiwa katika hotel ya nyota tano ubeleji ukiponda raha
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amekiri wazi kuwa chama chake kinapata wakati mgumu kupata wawakilishi wa Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa kutoka na hitaji la wingi wa Wagombea.
View attachment 3144492

Amesema hayo katika mahojiano na Chief Odemba wa Star TV.

Unadhani kwa kauli hii ndio kusema Lissu ananyoosha mikono juu au?

Soma Pia: Tundu Lissu amjibu Amos Makalla kutojiandikisha kwake "Nashangaa wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"
Watu serious wanajadili vitu kwa userious wake.
Kongole Tundu Lissu.
Si unasikia huko ccm wanapigana ngumi kila siku
 
Chadema inajiimarisha kutoka juu kwenda chini.....CCM inajiimarisha ikitokea chini kwenda juu.
 
Upinzani mpya unapaswa kuzaliwa, wenye agenda za kitaifa usio na mlengo wa kdini au Kanda flani!
 
Chadema ishakufu limebaki genge la wahuni wachache
Ingekufa majeshi yote ya serikali yangejitokeza kupambana na mfu? CCM bila mbeleko ya vyombo vya dola ni kama TLP tu
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    589.7 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727185842688.jpg
    FB_IMG_1727185842688.jpg
    37.8 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727158232732.jpg
    FB_IMG_1727158232732.jpg
    48 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1727158226330.jpg
    FB_IMG_1727158226330.jpg
    48.9 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 4
  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
  • JamiiForums-979014263.jpeg
    JamiiForums-979014263.jpeg
    63 KB · Views: 4
Back
Top Bottom