KwetuKwanza
Member
- Mar 13, 2023
- 82
- 150
Watu serious wanajadili vitu kwa userious wake.Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amekiri wazi kuwa chama chake kinapata wakati mgumu kupata wawakilishi wa Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa kutoka na hitaji la wingi wa Wagombea.
View attachment 3144492
Amesema hayo katika mahojiano na Chief Odemba wa Star TV.
Unadhani kwa kauli hii ndio kusema Lissu ananyoosha mikono juu au?
Soma Pia: Tundu Lissu amjibu Amos Makalla kutojiandikisha kwake "Nashangaa wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"
Alisema chadema itakuwa imekufa......sasa nani yupo kati ya chadema na....CHADEMA ipo taabani
Jiwe aliivuruga vyema
Chadema ishakufu limebaki genge la wahuni wachacheAlisema chadema itakuwa imekufa......sasa nani yupo kati ya chadema na....
Lipo linaokwa kama ndafu huko kuzimu,yule alikuwa shetani katika maumbile ya binadamu.Alisema chadema itakuwa imekufa......sasa nani yupo kati ya chadema na....
Ingekufa majeshi yote ya serikali yangejitokeza kupambana na mfu? CCM bila mbeleko ya vyombo vya dola ni kama TLP tuChadema ishakufu limebaki genge la wahuni wachache