Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria



MImi nakushahuri Mfungulie kesi mkapambane huko mahakamani, otherwise unachofanya hapa ni Umbea tu
 
Siku zao zinahesabika
Amen,tuwaelimishe wenzetu wanaopufushwa bila wao kupenda/kufahamu.Wanatishiwa kinyago walichokichonga 2015.Tupeane mbinu mbali mbali za kuwaangusha hawa wezi wasituibie kura tutakazopiga.

Wanasheria wetu tunawaomba muandae namna ya kutururhusu sisi wapiga kura kuzilinda kura zetu kisheria hadi matokeo halali yatangazwe.Tukishindwa kwenye sanduku la kura sawa,ila tukishinda pia iwe ni haki yetu kutangazwa.Tuilinde kura hata moja ya Mtanzania mwenzetu na ihesabiwe na kutangazwa bila hiyana.Pia turuhusiwe kuzilinda dhidi ya watu wenye nia mbovu wakitaka kupotosha kura za Watanzania.
 
Lisu haaminiki
 
Yapi hayo, fafanua ukiwa na ushahidi. Maana hili la ndege kufunguliwa nati ili afe hata kiziwi analijua
Nani alifungua nati?
Mbona hao wenye ndege hawajatoa taarifa police kama ni kweli?
Je tundu lisu ndo police wa hao wenye ndege?
Nyumbu mna mambo ya kishamba sana na TUNDU lenu, akiki zenu zote ni kuvuka mto tu bila kutumia ubongo.
 
Na Magufuli itahakikisha CCM na vyama vyote vinakufa , ibaki team magufuli tu
 
Hapo kwenye kushambuliwa lisu kuwa ni mipango ya chadema wenyewe UMEPOTEZA POINT
 
Utajuaje na hujaenda shule?
Tulia Mushi. Hakuna aliyemkataza Kimei kuongea kichagga mkutanoni.

Kumbuka kuwa kuna mababu na mabibi wa kimasai mpaka kesho wanatafsiriwa wakiongea na watu wa serikali.

Ina maana mbunge wa kimasai akiongea kimasai kwa faida ya wazee kama hao anakuwa anafanya kosa?.

Sio kila kitu kipingwe tu hata kama hakuna umuhimu.
 

Hao ni wazee wa kutaka kuhurumiwa katika kila jambo.
 
Lugha za Taifa zinazotambuliwa na katiba unazifahamu?
 
Ahaaaa. Sasa kwa nini Lissu anahangaika kupanda ndege ambazo zimefunguliwa nati ili afe?
Ndege wamekodi wenyewe, Sasa serikali inahusika vipi kwenye hiyo ndege mbovu? Kwanini asiiache akatumia boti kwenda Zanzibar? Au nayo imefunguliwa nati?
 
Binti tulia basi
 
Nina amini sana members wa jf kwa uwezo Mkubwa wa I,Q zao,hawezi kudanganywa kitoto hivyo,Eti,mabeberu sijui anatumwa na wazungusijui msaliti,huu ni uwongo wa kitoto,
 
Tundu Lissu anashindwa kujidhatiti katika hoja, amekuwa akishambulia ajenda ambazo sio sera. Anaendelea kupoteza idadi wa wapiga kura wachache aliokuwa nao.
 
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!
 
Hofu yangu tu yasije kutokea ya WENJE kule Mwanza tukakosa Kiongozi mzuri sababu ya Unyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…