Pia kutumia madaraka yako au cheo kuamuru barabara ijengwe kwa amri yako wakati upo kwenye kampeni ni mwiko.Kuhutubia kwa Kisukuma unajua kwenye sheria za uchaguzi imekatazwa?
Kama umeenda shule utaelewa nazungumzia nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kutumia madaraka yako au cheo kuamuru barabara ijengwe kwa amri yako wakati upo kwenye kampeni ni mwiko.Kuhutubia kwa Kisukuma unajua kwenye sheria za uchaguzi imekatazwa?
Kama umeenda shule utaelewa nazungumzia nini.
Ni kweli Anti anaelekea kushinda kwa kura za PembaMagufuli anafanya vituko mnajifanya hamvioni,hata Uongee mpaka unye mavi ya kijani,kura za lissu ziko palepale
tindo mbona unazungumzia shambulio lake tu? Hizi tuhuma za kutaka awekewe sumu mkononi? Tuhuma za kuwa ndege yake ilifunguliwa nati ili ipate hitilafu je? Hatakiwi kulipoti polisi? Hata kama vyombo vya uchunguzi unadai ibilisi amevishibiti. Mahakama kuu haiwezi kuvilazimisha vifanye kazi yake?Shambulio la Lisu halihitaji uwe mwanasheria kujua nini kiliendelea na nani aliagiza hilo shambulio. Kunahitajika vyombo vya ulinzi vinavyotekeleza wajibu wake bila kuingiliwa na ibilisi fullstop.
Umesema anti?Ni kweli Anti anaelekea kushinda kwa kura za Pemba
Utajuaje na hujaenda shule?Kisukuma ni lugha ya Kenya na Misri au?
Siku zao zinahesabikaNyani haoni...Wamejipa upofu wa kuona hayo yanayofanywa na Jiwe na watu wake.Mama Samia naye kanogewa na damu zetu,anaposema askari ya CCM Mpya hawapigi zaidi ya risasi tatu kama vile wanashambuliwa ni wanyama pori.Risasi za nini tena?
Natumai wewe ni mtu mweupe, na Kama wewe pia ni mweusi basi wewe ndie mjinga zaidi ya wale watakao kwenda kuonyesha ujinga wao kwenye boksi la Kura.Narudia tena, hiyo 28/10 hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Hesabu tu, ukichoka utaacha 😂Siku zao zinahesabika
We huwezi kujua hesabu, maana hujaenda shule. Kawalaumu wazazi wakoHesabu tu, ukichoka utaacha 😂
Evilspirit ?? Ni kweli auUmesema anti?
Ohooo..! wazazi wangu wameingiaje kwenye hoja yangu..? Mimi pia naweza kufanya hivyo, Ila sioni faida yake.Wewe unafanya hivyo kwasababu huna elimu, na Kama unayo,Basi haijakusaidia.We huwezi kujua hesabu, maana hujaenda shule. Kawalaumu wazazi wako
Kweli kuhusu nini mkuu?Evilspirit ?? Ni kweli au
tindo mbona unazungumzia shambulio lake tu? Hizi tuhuma za kutaka awekewe sumu mkononi? Tuhuma za kuwa ndege yake ilifunguliwa nati ili ipate hitilafu je? Hatakiwi kulipoti polisi? Hata kama vyombo vya uchunguzi unadai ibilisi amevishibiti. Mahakama kuu haiwezi kuvilazimisha vifanye kazi yake?
Elimu ina msaada sana mkuu.. unaweza kurudi kusoma, sio dhambiOhooo..! wazazi wangu wameingiaje kwenye hoja yangu..? Mimi pia naweza kufanya hivyo, Ila sioni faida yake.Wewe unafanya hivyo kwasababu huna elimu, na Kama unayo,Basi haijakusaidia.
Natumai wewe ni mtu mweupe, na Kama wewe pia ni mweusi basi wewe ndie mjinga zaidi ya wale watakao kwenda kuonyesha ujinga wao kwenye boksi la Kura.
Kama ulipita shule utakuwa umenielewa, Ila Kama hukupita Basi utaamini kuwa nimekutukana.
Kwamba tuna mawazo hayo ???Kweli kuhusu nini mkuu?
Sawa mkuu 🙏Mkuu hiyo sentensi yangu haina mabadiliko bila kujali rangi yangu. Ukweli ni huo huo boss.
Ila wewe haijakusaidia, ndio maana uliandika upupu wako hapo 🖕juuElimu ina msaada sana mkuu.. unaweza kurudi kusoma, sio dhambi