Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
Mkuu nani kwakwambia kwa upendo tuliokuwa nao kwa Mh. Lissu tunaitaji dawa kama Kuna mwengine azidi kutuloga ili tumpende zaidi
hakika hamhitaji dawa mtaendelea kuwa vichaa juu ya kichaa mwenzenu lissu tafuteni mganga awagangue mpone huko siyo sahihi kwa maisha ya binaadamu
 
Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA
Akili za makalioni.
 
Kama Jeshi la polisi litashindwa kulinda raia na mali zao Nani atakae Kua salama..?
Siamini kama Kuna binadamu anaweza kulinda uhai wangu na mengine kwangu,Bali naamini Allah kwangu ndio mlinzi wangu si binadamu
 
Tutaomba Msaada popote hata Kwa Shetani kulitoa Dude SSM Madarakani
nyie mtakachokitaka msubiiri kizazi chetu kipite hatutaki kuongozwa na mrpokaji kama huyo hatufai tukiondoka ndiyo mumuchague aje awatese
 
nyie mtakachokitaka msubiiri kizazi chetu kipite hatutaki kuongozwa na mrpokaji kama huyo hatufai tukiondoka ndiyo mumuchague aje awatese
Utaongozwa Tu na Mume utapatiwa
 
hakika hamhitaji dawa mtaendelea kuwa vichaa juu ya kichaa mwenzenu lissu tafuteni mganga awagangue mpone huko siyo sahihi kwa maisha ya binaadamu
Hivi hizi comments zako point yako iko wapi maana naona unaluka luka kama maharage jikoni kuendelea kukujibishana na wewe ni matumizi mabaya ya mda.
 
Bora mabeberu kuliko hilo zigo lililopo kigambon
 
Tatizo la mtu huyu ni kuamini kwamba ana ubora wa juu zaidi yetu. Anaamini tunamsubili sana arudi. Ukiona mtu anaeleza ujio wake kwa miezi hiyo, anaamini ujio huo ni muhimu sana. Yeye atueleze juu ya afya yake. Kama imeimalika, basi arudi awasaidie wana Ikungi badala ya kuwakoga kwa mambo ya uhuru sijii wa kitu gani. Hakuchaguliwa kuwafundisha watu mambo ya uhuru wa Tanganyika.
 
Why asikae hukohuko hadi utawala huu upite.
Hata mimi nina wasi wasi sana na usalama wake kwakuwa wabaya wake bado wapo. Juzi wamemteka Mdude sasa huyu safari hii wanaweza kuamua kumwangamiza kwa njia nyingine. Na je dereva wake atarudi au atabaki huko huko?
 
KAMWENE!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…