Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
nyie mtakachokitaka msubiiri kizazi chetu kipite hatutaki kuongozwa na mrpokaji kama huyo hatufai tukiondoka ndiyo mumuchague aje awatese
Kikongwe nyie mko wachache Sana..na Magonjwa yenu nyemelezi . Na msitegemee vyombo vya ulinzi. . Vijana wakiamua Hakuna cha kuwafanya.. Ref:Zimbabwe, Sudan na Arab Spring
 
Hakuna haja ya kujadili. Lissu hatakuja Tanzania tena karibuni. Atakuja baada ya miaka 26
 
Siku hiyo jeshi litakuwa linafanya usafi maeneo yote ya Dar...
What a coincidence? 😅 😅 😅 😅 😅
 
Hopeless!! Toa uchafu huu unanuka!
 
Aisee mazwazwa wa Lumumba mnaboa
Nilishasema, Ukishaanza kutumia maneno kama uzwazwa, naelewa we ni mtu wa kijiweni. Ni ngómbe wa shamba anayesubuli kufungiwa plau na kupigwa asonge mbele. Watu wanasubila ujio wa Yesu, nawe unasubilia ujio wa Lissu! So intuitively!
 

Mkuu umeisha patwa na kiwewe, mpaka unaandika kwa herufi kubwa. Kwa kweli wasiojulikana, mnaojulikana mnateseka. Mkisikia tu jina au habari za Tundu Lisu nyinyi pamoja na Lumumba mnashikwa na homa kali. Wenye maamuzi ni wananchi wapiga kura, wewe kama sio mrundi ni mwananchi unakura yako moja tu, kelele za nini kaa kimya acha wananchi tuamue wenyewe, kwenye uchaguzi huru, chini ya tume huru ,isyokuwa na wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi.
 
Nilishasema, Ukishaanza kutumia maneno kama uzwazwa, naelewa we ni mtu wa kijiweni. Ni ngómbe wa shamba anayesubuli kufungiwa plau na kupigwa asonge mbele. Watu wanasubila ujio wa Yesu, nawe unasubilia ujio wa Lissu! So intuitively!

Mmmm mkuu mbona mi nilisikia kuwa Lumumba mnasubiri ujio wa shetani mkuu. Hayo ya kwamba na nyinyi mnamsubiri Masihi, ni mapya kabisa ndio kwanza nayasikia kwako.
 
Be Beberu ni wewe acha fikra nyembamba
 
Kwani kuna ubaya akiwa rais? Badilikeni wa tz. Hata nguo,chakula nyumbani hubadilishwa
 
takataka.. [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Michadema komaeni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…