Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
Mawazo ya wapumbavu hayawezi kutuchota akili.
Kawadanganye huko Lumumba
 
polisi haichagui wa kumlinda inalinda raia wote sasa yeye ni nani ana uspecial gani?
Kwani ukisikia neno "watu" unadhani wewe unahusika? Utakuwaje "MTU" kama unafikira za kinguruwe kama hizi?
 
Je unadhani wana dhamira safi na Lissu hata kama hawataweza kumdhuru tena?
Dhamira zao ni ovu mno. Hilo swala liko wazi mkuu. Kitachofanyika ni kumuundia lissu mizengwe ya hapa na pale (ikiwemo mahakamani) ili kumpunguza speed ila kumdhuru hawawezi.
 
Na Magu ni chambo kwa ajili ya nani?
Mbona hali inazidi kuwa tete!!?
 
Mkuu ulikuwa naye kwenye hayo mazungumzo
 
nyie akili yenu bado inahamu ya kutawaliwa yaani kila kitu watu wa nje huyo lisssu wanamtega tu usifikiri wanampenda wakija hao tayari tunaanza kuwa watumwa tena
Bora watutawala kuliko kuwa Na mkoloni mweusi Na mwenye roho mbaya
 
siku hiyo sikutakuwa na misafara ya viongozi watakaokuja kwenye sherehe za uhuru? huku Kagame anapita kenge nyingine nayo inafuata kwa nyuma, akatue KIA aende zake Ikungi, watu wengine wanapendaga chokochoko tu,
 
siku hiyo sikutakuwa na misafara ya viongozi watakaokuja kwenye sherehe za uhuru? huku Kagame anapita kenge nyingine nayo inafuata kwa nyuma, akatue KIA aende zake Ikungi, watu wengine wanapendaga chokochoko tu,
Sheree zips za uhuru ambayo hela za Sheree hizo Dotto James na Magu wanazitafuna
 
Ameshakuwa zilipendwa kwasasa ni mdudu chadema
 
Bora Lissu kuliko hawa wanaotuteka na kutuua, Lissu Kwa kushirikiana na Mataifa ya nje watatutoa katika jehanamu hii
Kama wa Iraq na wa Libya walivyotolewa ktk jehanam zao sio?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…