johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe wajibu wako ni upi?Mh Tundu Antipas Lisu ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mungu wa mbinguni akubariki!
Kuchangia ruzuku ya vyama vya SiasaWewe wajibu wako ni upi?
Is Uturuku a democratic country? Hii siyo kama inaongozwa na magufuli? nielewesheMh Tundu Antipas Lisu ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mungu wa mbinguni akubariki!
Is Uturuku a democratic country? Hii siyo kama inaongozwa na magufuli? nieleweshe
Lissu na Mwenyekiti wanakula mema ya maridhiano
Lissu akaze,asipofanikisha yeye,atakua kaonyesha njia.Asiogope,walioogopa kufa wengine,walishatangulia.Apambane,yeye yupo kwenye platform nzuri ya kulisemea.