Tundu Lissu kwenye Katiba mpya Sisitiza Mfumo imara wa Kuhesabu kura, Uturuki uchaguzi Umeisha saa 10 sasa saa 2 Mshindi anatangazwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mh Tundu Antipas Lisu ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu

Mungu wa mbinguni akubariki!
 
..Yote yanaanza na kuwa na Tume Huru ya uchaguzi.

..Na Lissu amelipa suala hilo msisitizo mkubwa.
 
Lissu akaze,asipofanikisha yeye,atakua kaonyesha njia.Asiogope,walioogopa kufa wengine,walishatangulia.Apambane,yeye yupo kwenye platform nzuri ya kulisemea.
 
Lissu na Mwenyekiti wanakula mema ya maridhiano
 
Back
Top Bottom