johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona.
Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo yake ya Corona kwa kuchoma sindano ya pili na kwamba yeye amechanja aina ya Astra Zeneka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo yake ya Corona kwa kuchoma sindano ya pili na kwamba yeye amechanja aina ya Astra Zeneka.
Mungu ni mwema wakati wote!