Tundu Lissu: Mabinti zenu mnaowasomesha Vyuo Vikuu hawapewi Mikopo wanakwenda kujiuza mabarabarani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza

"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu

Chanzo: Mwanzo TV Plus

My take; Lissu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza

"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu

Chanzo: Mwanzo TV Plus

My take; Lisu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
Kumbe kuna lose balls hapo udsm na hamsemi jamni
 
Ila amesema ukweli kabisaa, lakini wengine mkopo na boom wanapewa bado wanajiuza huko nje.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza

"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu

Chanzo: Mwanzo TV Plus

My take; Lisu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
It's his opinion but not facts, Wanajiuza!!?
 
Wanafunzi wa kike na taasisi za kutetea wanawake wamburuze mahakamani akathibitishe kuwa watoto wa wazazi wa Manyoni alikokuwa anahutubia kuwa wanajiuza Dar

au wazazi wa Iramba Wenye watoto Dar wamburuze mahakamani akathibitishe hizo Tuhuma kuwa watoto wao wanajiuza Dar es salaam

wazazi wa manyoni Wenye watoto wenu Dar mburuzeni mahakamani athibitishe kama wanenu wanajiuza Dar
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza

"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu

Chanzo: Mwanzo TV Plus

My take; Lisu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
Jo ,ni kweli maisha ni magumusana kisa wala kwa urefu wa kamba wanakula sana nakupitiziza na vingine wanachimbia chini bila sababu,mambo ya msingi hayawezekani tena kuhudumiwa ipasavyo.
 
Huwa anaropoka kweli naye huyu mzalendo sometimes. Mtu wa kujiuza atajiuza tu hata akipata mkopo.
 
Amejuaje km wanachuo? Kashapona anaanza kupitia viwanja sasa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom