Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Sawa Wana haki hiyo. Swali ni je Kuna mwanasheria wa kumchallege lisu?Wanafunzi wa kike na taasisi za kutetea wanawake wamburuze mahakamani akathibitishe kuwa watoto wa wazazi wa Manyoni alikokuwa anahutubia kuwa wanajiuza Dar
au wazazi wa Iramba Wenye watoto Dar wamburuze mahakamani akathibitishe hizo Tuhuma kuwa watoto wao wanajiuza Dar es salaam
wazazi wa manyoni Wenye watoto wenu Dar mburuzeni mahakamani athibitishe kama wanenu wanajiuza Dar
Kwanza USHAHIDI upo kasema Watoto wa watanzania wote maana kile chuo kikuu sio Kwa ajiri ya watu wa manyoni au iramba pekee