johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe kuna lose balls hapo udsm na hamsemi jamniMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza
"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu
Chanzo: Mwanzo TV Plus
My take; Lisu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
Watoto wa Lissu hawana njaa. Alishawahi kusema ataonekana mgonjwa wa akili akiwapeleka watoto zake shule za kata.Na yeye Tundu Lissu kawapeleka wapi mabinti zake?
Huyo mbunge ni chizi!Halafu bado kuna mbunge anataka pesa za boom ziondolewe
Acha upoyoyo kwani usiku huwezi kuwa barabarani .Usiku huo Lissu alikuwa anafanya nini huko na kuwaona?
AaahaaaNa yeye Tundu Lissu kawapeleka wapi mabinti zake?
Na akawatambua kwamba wale ni wanachuo?Acha upoyoyo kwani usiku huwezi kuwa barabarani .
Ni ukweli.mtupu kwani wewe hujawaona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe kuna lose balls hapo udsm na hamsemi jamni
It's his opinion but not facts, Wanajiuza!!?Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza
"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu
Chanzo: Mwanzo TV Plus
My take; Lisu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
Jo ,ni kweli maisha ni magumusana kisa wala kwa urefu wa kamba wanakula sana nakupitiziza na vingine wanachimbia chini bila sababu,mambo ya msingi hayawezekani tena kuhudumiwa ipasavyo.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza
"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu
Chanzo: Mwanzo TV Plus
My take; Lisu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
Huyo ni poyoyo kbs. Mwambie ukweli huyo chawa hajielewi kabisa!Acha upoyoyo kwani usiku huwezi kuwa barabarani .
Ni ukweli.mtupu kwani wewe hujawaona.