Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Sawa Wana haki hiyo. Swali ni je Kuna mwanasheria wa kumchallege lisu?Wanafunzi wa kike na taasisi za kutetea wanawake wamburuze mahakamani akathibitishe kuwa watoto wa wazazi wa Manyoni alikokuwa anahutubia kuwa wanajiuza Dar
au wazazi wa Iramba Wenye watoto Dar wamburuze mahakamani akathibitishe hizo Tuhuma kuwa watoto wao wanajiuza Dar es salaam
wazazi wa manyoni Wenye watoto wenu Dar mburuzeni mahakamani athibitishe kama wanenu wanajiuza Dar
Mdogo wangu mkopo wanaopewa wanafunzi nyakati hizi ni Heri waache shule kabisa, wengi karibia wote hupewa 16% ya mkopo na boom hivyo wanachukua boom ndo wanajazia adaWanafunzi wengi tu wanapewa mkopo na bado wanajiuza kwa tamaa zao binafsi.
Sometimes tuwe realistic.
Kwani yeye Lisu Mungu kiasi asiwe challenged?Sawa Wana haki hiyo. Swali ni je Kuna mwanasheria wa kumchallege lisu?
Kwanza USHAHIDI upo kasema Watoto wa watanzania wote maana kile chuo kikuu sio Kwa ajiri ya watu wa manyoni au iramba pekee
.Kwani yeye Lisu Mungu kiasi asiwe challenged?
Huyu Lisu mdhalilisha majaji na kuwaita Hawamjui kingereza huyu ndio ashindikane huyu
Tena majaji wanamsubiri Kwa hamu sana atue anga zao
Wazazi wa manyoni tu ndio muanze kumburuza mahakamani
Kawadhalilisha sana
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza
"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu
Chanzo: Mwanzo TV Plus
My take; Lissu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
Naunga mkono hojaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza
"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema Lisu
Chanzo: Mwanzo TV Plus
My take; Lissu aitwe kamati ya Maadili kutoa ushahidi
UWT mmebanishwa leoWanafunzi wa kike na taasisi za kutetea wanawake wamburuze mahakamani akathibitishe kuwa watoto wa wazazi wa Manyoni alikokuwa anahutubia kuwa wanajiuza Dar
au wazazi wa Iramba Wenye watoto Dar wamburuze mahakamani akathibitishe hizo Tuhuma kuwa watoto wao wanajiuza Dar es salaam
wazazi wa manyoni Wenye watoto wenu Dar mburuzeni mahakamani athibitishe kama wanenu wanajiuza Dar
Kuna jamaa yangu ilikua mwaka 2014 nilikua namjadala nae nikamwambia kwa hapa Tanzania sioni kabisa umuhimu wa Bunge ibakie tu serikali kuu.Halafu bado kuna mbunge anataka pesa za boom ziondolewe