Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Lissu amesema
"Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo lazima tuyamalizie chumbani basically hizi ni hoja za CCM za miaka yote, mkizungumzia chumbani haya ni mambo ya umma, ni mambo ya umma hayawezi yakaishia chumbani, bila haya mambo kuzungumzwa hadharani (1983/84 wakati wa mjadala wa Katiba ya Tanzania) tusingekuwa na term limit kwenye Katiba yetu, najuwa kuzungumza nje kuna watu hawapendi, wapambe hawapendi, watu ambao wana maslahi ya bwana mkubwa (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuendelea hawapendi"
"Na mara nyingine kuna hatari sana, hiyo ya mwaka 1984 ilimgharimu Aboud Jumbe uongozi (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar) lakini ni hoja ambazo lazima zingumzwe, nyingine mnaniambia zizungumzwe zinazimwa ndani"