Pre GE2025 Tundu Lissu: Mambo ya umma hayazungumziwi chumbani, wapambe wa bwana mkubwa hawapendi nizungumze nje

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024

Lissu amesema

"Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo lazima tuyamalizie chumbani basically hizi ni hoja za CCM za miaka yote, mkizungumzia chumbani haya ni mambo ya umma, ni mambo ya umma hayawezi yakaishia chumbani, bila haya mambo kuzungumzwa hadharani (1983/84 wakati wa mjadala wa Katiba ya Tanzania) tusingekuwa na term limit kwenye Katiba yetu, najuwa kuzungumza nje kuna watu hawapendi, wapambe hawapendi, watu ambao wana maslahi ya bwana mkubwa (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuendelea hawapendi"

"Na mara nyingine kuna hatari sana, hiyo ya mwaka 1984 ilimgharimu Aboud Jumbe uongozi (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar) lakini ni hoja ambazo lazima zingumzwe, nyingine mnaniambia zizungumzwe zinazimwa ndani"
Kwako Kiranga
 
Ila siasa bana. Leo hii wale machawa akina Lucas, Tlaah, Mgonjwa Mtambuka na genge lao waliokuwa wanamtukana Mbowe kila siku na kumsingizia mambo kibao ikiwemo ulevi wa konyagi eti sasa hivi wanamkingia kifua na kumtusi Lissu kisa tu wanaogopa moto wake.
Ndio maana tunaona wanalipwa na mama Abdallah
 
Haya ya kufichiana (kula Zanzibar wanaita muhali) ndiyo yanayokwamisha maendeleo ya taifa na ukomavu wa demkrasia hapa nchini.

Kusema
(1) katiba ya chadema haijaweka ukomo wa uongozi wa juu wa chama, kuna shida gani ikisemwa hadharani? Kwani ni uwongo?
(2) Hela za chama zinatafutwa na zinatolewa na mtu badala ya mfumo wa chama, Kuna ubaya gani ikisemwa hadharani? Kwani ni uwongo?
(3) Kuna uchawa ndani ya chadema Kuna ubaya gani ikisemwa hadharani? Kwani ni uwongo?
Muhali ni jambo baya sana kwenye jamii
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024

Lissu amesema

"Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo lazima tuyamalizie chumbani basically hizi ni hoja za CCM za miaka yote, mkizungumzia chumbani haya ni mambo ya umma, ni mambo ya umma hayawezi yakaishia chumbani, bila haya mambo kuzungumzwa hadharani (1983/84 wakati wa mjadala wa Katiba ya Tanzania) tusingekuwa na term limit kwenye Katiba yetu, najuwa kuzungumza nje kuna watu hawapendi, wapambe hawapendi, watu ambao wana maslahi ya bwana mkubwa (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuendelea hawapendi"

"Na mara nyingine kuna hatari sana, hiyo ya mwaka 1984 ilimgharimu Aboud Jumbe uongozi (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar) lakini ni hoja ambazo lazima zingumzwe, nyingine mnaniambia zizungumzwe zinazimwa ndani"
Lissu ni mjinga anejiona mwerevu mipango na strategy's za chama zinazongizwa NJE/HADHARANI maana yote hayo ni ya umma
 
safi kabisa ,unit in diversity,huku kutofautiana katika kufiri ndiko kunafanya chadema kionekane kwamba ni chama komavu na watu wenye uwezo .Wanakosoana kwa hoja kipindi kama hichi cha uchaguzi but at end they remain one, na sio upumbavu wa kuhama chama na kuanza kuwatukana wezako ukiwa nje.
Wishful thinking.

Amandla...
 
HUYU NI MPUUZI TU! UNAZUNGUMZA NJE YA VIKAO VYENU UNAMNUFAISHA NANI? KUNA YA KUZUNGUMZA NDANI NA MENGIN YA NJE..YOU NEED TO DIFFERENTATE BETWEEN THE TWO!
MTOTO WAKO AKIIBA UNATANGAZIA UMMA KUWA NI MWIZI KWA VILE JINAI NI SUALA LA UMMA? UNAMREKEBISHA KWA NGUVU ZOTE NDANI KWA NDANI
Umevurugwa
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024

Lissu amesema

"Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo lazima tuyamalizie chumbani basically hizi ni hoja za CCM za miaka yote, mkizungumzia chumbani haya ni mambo ya umma, ni mambo ya umma hayawezi yakaishia chumbani, bila haya mambo kuzungumzwa hadharani (1983/84 wakati wa mjadala wa Katiba ya Tanzania) tusingekuwa na term limit kwenye Katiba yetu, najuwa kuzungumza nje kuna watu hawapendi, wapambe hawapendi, watu ambao wana maslahi ya bwana mkubwa (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuendelea hawapendi"

"Na mara nyingine kuna hatari sana, hiyo ya mwaka 1984 ilimgharimu Aboud Jumbe uongozi (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar) lakini ni hoja ambazo lazima zingumzwe, nyingine mnaniambia zizungumzwe zinazimwa ndani"
Lissu namkubali sana ila dah...hii mambo unamuita kuongozi mkuu wa chama bwana mkubwa haijakaa vizuri...kweli CCM itatawala milele....ngoja tutafute hela tu...
 
HUYU NI MPUUZI TU! UNAZUNGUMZA NJE YA VIKAO VYENU UNAMNUFAISHA NANI? KUNA YA KUZUNGUMZA NDANI NA MENGIN YA NJE..YOU NEED TO DIFFERENTATE BETWEEN THE TWO!
MTOTO WAKO AKIIBA UNATANGAZIA UMMA KUWA NI MWIZI KWA VILE JINAI NI SUALA LA UMMA? UNAMREKEBISHA KWA NGUVU ZOTE NDANI KWA NDANI
chill Mkuu usifokeee saaaana.

Mbowe akichukua form chademuzii kwishney
2025 chama kikuu cha upinzani ni …….
Anza kujiandaa kisaikolojia!

People are fed up. Kutupanga tuuuuu for 20yrs??? How n why?

It can be done play your party LISSU!
 
Lissu anatosha!
Kiboko ya ma ccm.
Ngoja tuone lakini baadaye sana tutakuja kugundua kwamba kuwatoa ccm Wala haihitaji hizi papara papara za Lissu. Kwa CDM Kwa sasa mtu ambaye angalau anafaa ni Mbowe or else tufanye usajili Toka ccm Ili tupate mtu anayeweza kuaminika Kwa umma na kupewa kura. Ila Lissu HAPANA.
 
Uongo
Ngoja tuone lakini baadaye sana tutakuja kugundua kwamba kuwatoa ccm Wala haihitaji hizi papara papara za Lissu. Kwa CDM Kwa sasa mtu ambaye angalau anafaa ni Mbowe or else tufanye usajili Toka ccm Ili tupate mtu anayeweza kuaminika Kwa umma na kupewa kura. Ila Lissu HAPANA.
 
HUYU NI MPUUZI TU! UNAZUNGUMZA NJE YA VIKAO VYENU UNAMNUFAISHA NANI? KUNA YA KUZUNGUMZA NDANI NA MENGIN YA NJE..YOU NEED TO DIFFERENTATE BETWEEN THE TWO!
MTOTO WAKO AKIIBA UNATANGAZIA UMMA KUWA NI MWIZI KWA VILE JINAI NI SUALA LA UMMA? UNAMREKEBISHA KWA NGUVU ZOTE NDANI KWA NDANI
Nyie Ndio mnategemea kuchukua nchi siku moja?! Pathetic!
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024

Lissu amesema

"Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo lazima tuyamalizie chumbani basically hizi ni hoja za CCM za miaka yote, mkizungumzia chumbani haya ni mambo ya umma, ni mambo ya umma hayawezi yakaishia chumbani, bila haya mambo kuzungumzwa hadharani (1983/84 wakati wa mjadala wa Katiba ya Tanzania) tusingekuwa na term limit kwenye Katiba yetu, najuwa kuzungumza nje kuna watu hawapendi, wapambe hawapendi, watu ambao wana maslahi ya bwana mkubwa (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuendelea hawapendi"

"Na mara nyingine kuna hatari sana, hiyo ya mwaka 1984 ilimgharimu Aboud Jumbe uongozi (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar) lakini ni hoja ambazo lazima zingumzwe, nyingine mnaniambia zizungumzwe zinazimwa ndani"
Lissu,ameamua kutafuta njia ya kukimbia kwenye siasa
 
HUYU NI MPUUZI TU! UNAZUNGUMZA NJE YA VIKAO VYENU UNAMNUFAISHA NANI? KUNA YA KUZUNGUMZA NDANI NA MENGIN YA NJE..YOU NEED TO DIFFERENTATE BETWEEN THE TWO!
MTOTO WAKO AKIIBA UNATANGAZIA UMMA KUWA NI MWIZI KWA VILE JINAI NI SUALA LA UMMA? UNAMREKEBISHA KWA NGUVU ZOTE NDANI KWA NDANI
Umevurugwa kwelikweli.

Wewe unamficha mtoto jambazi nyumbani kwako una fikiri itamsaidia kitu gani mtoto huyo, kama syoi kumwandalia kitanda cha mauti!

Hayo unayo taka yazungumziwe ndani; ya hao hao viongozi kuwa maadui wakubwa wa chama chao, kwa kukubali rushwa toka kwa chama kinacho wasurubu na kutaka kuwamaliza kabisa! Hivi hizi akili mmeziuza wapi nyinyi watu; kiasi kwamba hata aibu hamna kabisa?
 
Unapata wapi ujasìri wa kumuita mwenyekiti wako ajaye mpuuzi?😁
Huyo siyo mwanachama wa CHADEMA, ni wazi kabisa kuwa anajihusisha na chama hicho kwa sababu ya Mbowe. Bila Mbowe, kwake ni sawa na kutokuwepo CHADEMA.

Hali hiyo haina tofauti sana na wewe kuwa ndani ya CCM kwa sababu ya uwepo wa Magufuli; bila Magufuli, CCM ni kama haipo!
 
Back
Top Bottom