Pre GE2025 Tundu Lissu: Mambo ya umma hayazungumziwi chumbani, wapambe wa bwana mkubwa hawapendi nizungumze nje

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwako Kiranga
 
Ndio maana tunaona wanalipwa na mama Abdallah
 
Muhali ni jambo baya sana kwenye jamii
 
Lissu ni mjinga anejiona mwerevu mipango na strategy's za chama zinazongizwa NJE/HADHARANI maana yote hayo ni ya umma
 
Wishful thinking.

Amandla...
 
Umevurugwa
 
Lissu namkubali sana ila dah...hii mambo unamuita kuongozi mkuu wa chama bwana mkubwa haijakaa vizuri...kweli CCM itatawala milele....ngoja tutafute hela tu...
 
chill Mkuu usifokeee saaaana.

Mbowe akichukua form chademuzii kwishney
2025 chama kikuu cha upinzani ni …….
Anza kujiandaa kisaikolojia!

People are fed up. Kutupanga tuuuuu for 20yrs??? How n why?

It can be done play your party LISSU!
 
Lissu anatosha!
Kiboko ya ma ccm.
Ngoja tuone lakini baadaye sana tutakuja kugundua kwamba kuwatoa ccm Wala haihitaji hizi papara papara za Lissu. Kwa CDM Kwa sasa mtu ambaye angalau anafaa ni Mbowe or else tufanye usajili Toka ccm Ili tupate mtu anayeweza kuaminika Kwa umma na kupewa kura. Ila Lissu HAPANA.
 
Uongo
 
Nyie Ndio mnategemea kuchukua nchi siku moja?! Pathetic!
 
Lissu,ameamua kutafuta njia ya kukimbia kwenye siasa
 
Umevurugwa kwelikweli.

Wewe unamficha mtoto jambazi nyumbani kwako una fikiri itamsaidia kitu gani mtoto huyo, kama syoi kumwandalia kitanda cha mauti!

Hayo unayo taka yazungumziwe ndani; ya hao hao viongozi kuwa maadui wakubwa wa chama chao, kwa kukubali rushwa toka kwa chama kinacho wasurubu na kutaka kuwamaliza kabisa! Hivi hizi akili mmeziuza wapi nyinyi watu; kiasi kwamba hata aibu hamna kabisa?
 
Unapata wapi ujasìri wa kumuita mwenyekiti wako ajaye mpuuzi?😁
Huyo siyo mwanachama wa CHADEMA, ni wazi kabisa kuwa anajihusisha na chama hicho kwa sababu ya Mbowe. Bila Mbowe, kwake ni sawa na kutokuwepo CHADEMA.

Hali hiyo haina tofauti sana na wewe kuwa ndani ya CCM kwa sababu ya uwepo wa Magufuli; bila Magufuli, CCM ni kama haipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…