Tundu Lissu: Maslahi ya umma kwenye kesi hii, ni kumwachia huru asiye na hatia aende zake

Tundu Lissu: Maslahi ya umma kwenye kesi hii, ni kumwachia huru asiye na hatia aende zake

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Nabii Tundu lissu amedai ikiwa ushahidi upo na wamedai upo , basi upelekwe Mahakama kuu,

Sasa DPP kudai bado hajaamua Nini kifanyike ni kinyume Cha Sheria na katiba.


Maslah ya umma kwenye kesi yake ni kumwachia huru mara moja sababu hana hatia, au apelekwe Mahakama kuu ushahidi usomwe.

M Mungu Mbariki Nabii wetu Tundu lissu,

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Aamin
 
Serekali inatakiwa imtendee haki Tundu Lissu wasiponyonga itakua wamemnyima haki yake kisheria
 
Mwenye haki anapotezewa muda wake gerezani ilhal waovu wanastarehe,

Hii SI haki. Mungu ingilia kati.
Bila nguvu ya umma CCMitawanyanyasa sana. Ingienibarabarani mambo yaende. Mitandaono hawawasikii
 
Back
Top Bottom