Tundu Lissu: Mawakili wa Tanzania hatuwafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100

Peter Madeleka siku za karibuni ameanza kuwa watofauti, binafsi napęnda anachokifanya kutetea wasio na uwezo.

Jamaa angeanzisha NGO yake atafute funds kutoka kwa wazungu (kuna taasisi nyingi tu wana funds hizo sheria kila mwaka), aendelee na njia hiyo hiyo ya kuwapigania walalahoi na kuacha kuingiza siasa kwenye kazi yake bali kujikita kwenye mambo ya haki na sheria tu.
 
Ndio Kenya kuna vibrant Advocate like Learned Senior Caunsel James Orengo, Kalonzo Msyoka, Martha Karua na wengine.
 
Kenya hapajakuwa na amani na haitatokea wakawa na amani. Na sababu kubwa ya wao kutokuwa na amani ni hiyo aina ya mawakili wao ambayo Tundu Lissu anaitamani.

Tanzania ni kisiwa cha amani. Kenya wanatamani sana kuwa sisi.
Tanzania sio nchi ya amani, bali ni nchi ya makondoo. Hakuna mkenya anatamani kuwa kondoo kama sisi, labda useme watawala wa Kenya ndio wanatamani kuongoza wananchi majoga kama ya Tanzania.
 
Kenya hapajakuwa na amani na haitatokea wakawa na amani. Na sababu kubwa ya wao kutokuwa na amani ni hiyo aina ya mawakili wao ambayo Tundu Lissu anaitamani.

Tanzania ni kisiwa cha amani. Kenya wanatamani sana kuwa sisi.
Wakenya gani watamani huu ukondoo wa kitanganyika?
 
Utulie sasa.Unajua alitaka kushauri nini?Usiongozwe na negative attitudes towards someone.Tulia.
hii ni kawaida yake.Routine anatulia ubelgiji miezi mitatu,miezi mitatu mingine anarudi huku kuja kuponda nchi ilivyokuwa mbaya..najua amekosewa binafsi na CCM ,lakini kuja kila siku kupiga madongo tu.

Hata kama nyumba yangu ina ufa, jirani yangu akija kila siku kuniambia nyumba yangu ni mbovu kwasababu ina ufa, haileti maana..kuna siku nitamchenjia yy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…