johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya.
Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena, sababu ilishakamilisha majukumu yake.
Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya Warioba, tutachukua baadhi ya mambo kwenye Katiba pendekezwa na kuyaunganisha na mawazo mapya ya wananchi ili tupate Katiba Mpya iliyo bora.
Chanzo: ITV