johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Si ndiyo wewe hapo, sasa unamshangaa nani!Hivi kunawatu Bado wanafuatilia mambo ya huyu jamaa
Umechanganyikiwa wewe si bure!kwa Mantiki hii ya Lissu maana yake Mchakato uanze mwanzo kabisa kwny ukusanyaji wa maoni...
Lisu analialia tu anatamani angekuwa kwenye hiyo tume wanachowaza ni pesa tu matapeli wa siasa hawaMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya.
Lisu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena ilishakamilisha Majukumu yake
Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya Warioba tutachukua baadhi ya mambo kwenye Katiba Pendekezwa na kuyaunganisha na mawazo mapya ya Wananchi Ili tupate Katiba Mpya iliyo Bora
Source ITV
Sijasoma chochote, zaidi nashangaa wasiojielewa tuuu.Si ndiyo wewe hapo, sasa unamshangaa nani!
Hapa sijaelewa kitu msisitizo ni kwamba katiba ipatikane kabla ya 2025, watunga Sheria ni wabunge ambao wote ni ccm je watunga Sheria Kwa maslahi ya taifa au ya ccm na kama sivyo maana take tusubiri mpaka uchaguzi auMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya.
Lisu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena ilishakamilisha Majukumu yake
Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya Warioba tutachukua baadhi ya mambo kwenye Katiba Pendekezwa na kuyaunganisha na mawazo mapya ya Wananchi Ili tupate Katiba Mpya iliyo Bora
Source ITV
Hivi kunawatu Bado wanafuatilia mambo ya huyu jamaa
Yaaani kanjanja anaitwa mwambaaa. DuuuuuuhWe mwenyewe unamfuatilia sana tu.ulivoona uzi unamhusu Mwamba umekuja mbio kama nyoka anaekimbizwa na nguchiro kusoma..
Namuunga mkono Tundu Lissu katika hili. Nami nimeanzisha mada hapa JF kama mchakato wetu wa Katiba ya Wananchi.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya.
Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena, sababu ilishakamilisha majukumu yake.
Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya Warioba, tutachukua baadhi ya mambo kwenye Katiba pendekezwa na kuyaunganisha na mawazo mapya ya wananchi ili tupate Katiba Mpya iliyo bora.
Chanzo: ITV
Katiba mpya kabla ya uchaguzi haiwezekani kwa sababu inatakiwa angalu iwe imebaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi mkuuMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya.
Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena, sababu ilishakamilisha majukumu yake.
Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya Warioba, tutachukua baadhi ya mambo kwenye Katiba pendekezwa na kuyaunganisha na mawazo mapya ya wananchi ili tupate Katiba Mpya iliyo bora.
Chanzo: ITV
Tulijua tukwa Mantiki hii ya Lissu maana yake Mchakato uanze mwanzo kabisa kwny ukusanyaji wa maoni
kwny Bajeti hii ya 2023/24 inayoenda kusomwa hilo halipo
ukisubiri bajeti ijayo ya 2024/25 maana yake mchakato huo utakuwa haujakamilika kabla ya uchaguzi wa Serikali za mitaa
maana yake uchaguzi wa local government utumie katiba ya sasa au uahirishwe
hata uchaguzi ujao itabidi utumie Katiba ya sasa kwa kuwa mchakato wa Katiba mpya utakuwa haujafika mwisho
Utamu wa asali ni unbeatable
Wewe hapo, kataa nikushangaeHivi kunawatu Bado wanafuatilia mambo ya huyu jamaa