Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Nani kamwambia?Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU
View attachment 3677081
ChivayoNani kamwambia?
Kabisaa, uko sahihi.Watu wengi ni wasahaulifu, hili swali wanalichukulia poa sana.....Ni huyu huyu Tundu Antipas Lissu aliyekuwa wa kwanza kuulizia hali ya JPM akiwa Ubelgiji na baada ya siku tatu tukaambiwa taarifa ya msiba....hili swali la Lissu tusilichukulie poa lazima kutakua na kitu ambacho tutakisikia siku sio nyingi.
Naona umelingalia kwa angle nyingineWatu wengi ni wasahaulifu, hili swali wanalichukulia poa sana.....Ni huyu huyu Tundu Antipas Lissu aliyekuwa wa kwanza kuulizia hali ya JPM akiwa Ubelgiji na baada ya siku tatu tukaambiwa taarifa ya msiba....hili swali la Lissu tusilichukulie poa lazima kutakua na kitu ambacho tutakisikia siku sio nyingi.
Watu wengi ni wasahaulifu, hili swali wanalichukulia poa sana.....Ni huyu huyu Tundu Antipas Lissu aliyekuwa wa kwanza kuulizia hali ya JPM akiwa Ubelgiji na baada ya siku tatu tukaambiwa taarifa ya msiba....hili swali la Lissu tusilichukulie poa lazima kutakua na kitu ambacho tutakisikia siku sio nyingi.
Kama huna akili huwezi kuelewa ujumbe wa Lisu"Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Una akili au matope kichwaniKwahiyo uaona uungane nae kwa kuwa ni mkatoliki mwenzako siyo?
Udini tuh unawasumbua chadema,nakumbuka kuna siku padre kitime aliwakutanisha wote akawashika mikono kuwasuluhisha lisu na nchimbi wakiwa kwenye hadhara ya parokia
Hizo kete mnazojaribu kuzicheza tumeshazistukia
Kwani unadhani michezo yenu makafiri hatuijui??Una akili au matope kichwani
Let's wait and see....muda huwa ni jibu sahihiNaona umelingalia kwa angle nyingine
Siamini kama mnafundishwa upumbavu kiasi hicho ila wewe una upumbavu wa asiliKwani unadhani michezo yenu makafiri hatuijui??
Hapo lisu anajifanya anamuulizia nchimbi kutrigger chuki ili hukumu ikisomwa kwake basi atangeneze sympathy kwamba anaonewa kama alivyoonewa nchimbi kwa hoja ya udini
Ngoma imeshakuwa ngumu hiyo,yeye akae tuh asubirie hukumu