Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Your browser is not able to display this video.
 
Watu wengi ni wasahaulifu, hili swali wanalichukulia poa sana.....Ni huyu huyu Tundu Antipas Lissu aliyekuwa wa kwanza kuulizia hali ya JPM akiwa Ubelgiji na baada ya siku tatu tukaambiwa taarifa ya msiba....hili swali la Lissu tusilichukulie poa lazima kutakua na kitu ambacho tutakisikia siku sio nyingi.
 
Kabisaa, uko sahihi.
 
Kwahiyo uaona uungane nae kwa kuwa ni mkatoliki mwenzako siyo?
Udini tuh unawasumbua chadema,nakumbuka kuna siku padre kitime aliwakutanisha wote akawashika mikono kuwasuluhisha lisu na nchimbi wakiwa kwenye hadhara ya parokia

Hizo kete mnazojaribu kuzicheza tumeshazistukia
 
Naona umelingalia kwa angle nyingine
 

Hizo ni akili z parokia tuh

Na magufuli mlikuwa wanaparokia hamumpendi vile.vile kwa kuwa aliwabana na sadaka zilipungua huko kanisani,leo kafa mnajifanya mnampenda

Hamna maana nyinyi,nchimbi kaandika barua mwenyewe kujiuzulu sasa unauliza nchimbi yuko wapi why huulizio na mpango yuko wapi?
 
ohhoo naanza kuwa na mashaka sasa kwa maana kwa Magu ilianza hivyo hivyo na Tundu Lisu kuhoji alipokuwepo kilichofwatia ni majonzi (kwa walioguswa ofcourse, upande mwingine ilikuwa party), sasa leo anauliza na kurudia mara 3 " dr.Nchimbi yuko wapi" ? ...
 
Una akili au matope kichwani
Kwani unadhani michezo yenu makafiri hatuijui??

Hapo lisu anajifanya anamuulizia nchimbi kutrigger chuki ili hukumu ikisomwa kwake basi atangeneze sympathy kwamba anaonewa kama alivyoonewa nchimbi kwa hoja ya udini

Ngoma imeshakuwa ngumu hiyo,yeye akae tuh asubirie hukumu
 
Siamini kama mnafundishwa upumbavu kiasi hicho ila wewe una upumbavu wa asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…