Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu

Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana

Kuna wakati Spika Ndugai alionya bungeni endapo Chadema itaendelea na Rushwa za ngono Kwenye uteuzi wa Wabunge wa Viti maalumu basi angemjulisha rasmi Msajili wa Vyama Vya siasa Kwa hatua zaidi

Ahsanteni sana 😄

Pia soma
- Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
 
Sasa kama lissu atashinda uenyekiti vipi hao wanachama wao walioko bungeni, wataendelea kuwemo chadema? Maana uchaguzi mkuu hauko mbali watia nia waanze kujipendekeza kwa wananchi kujiandaa kwa uchaguzi
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu

Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana

Kuna wakati Spika Ndugai alionya bungeni endapo Chadema itaendelea na Rushwa za ngono Kwenye uteuzi wa Wabunge wa Viti maalumu basi angemjulisha rasmi Msajili wa Vyama Vya siasa Kwa hatua zaidi

Ahsanteni sana 😄

Pia soma
- Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
Muongo aliwahi mteua dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu Chadema
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu

Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana

Kuna wakati Spika Ndugai alionya bungeni endapo Chadema itaendelea na Rushwa za ngono Kwenye uteuzi wa Wabunge wa Viti maalumu basi angemjulisha rasmi Msajili wa Vyama Vya siasa Kwa hatua zaidi

Ahsanteni sana 😄

Pia soma
- Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
CCM ndio wakongwe wa rushwa za ngono, miaka ile kama ulikuwa mfuatiliaji wa siasa ndani ya CCM kuna jimama lilikuwa linaitwa shangingi la NEC.

Ila kama kawaida CCM mna tabia ya kuficha uovu wenu chini ya zulua.
 
Alikuwa na mamlaka ya kumteua mtu kuwa mbunge viti maalumu?
Akiwa kamati ya maamuzi ulitaka aache dada yake?

Chadema walikuwa viongozi wanagawana viti maalumu kila mmoja anampa wake

Lisu pia naye alijigawia wake Wengine wakiwapa hawara zao yeye akampa dada yake

Hilo la kujifanya yeye msafi sio kweli kwenye hilo la viti maalumu
 
labda ( tundu lisu) akueleze pia dadake aliitwa christina lisu nafikiri alipataje uviti maalumu ?
 
Akiwa kamati ya maamuzi ulitaka aache dada yake?

Chadema walikuwa viongozi wanagawana viti maalumu kila mmoja anampa wake

Lisu pia naye alijigawia wake Wengine wakiwapa hawara zao yeye akampa dada yake

Hilo la kujifanya yeye msafi sio kweli kwenye hilo la viti maalumu
Kwa hiyo huyo dada yake alikuwa hastahili kupata hiyo nafasi au ni kwa sababu ni ndugu yake?

Pili kwa kuwa ndugu yake wa damu aliwahi kuwa mbunge wa viti maalumu ni kosa kurekebisha sheria na jinsi ya kupata nafasi hii?
 
labda ( tundu lisu) akueleze pia dadake christina lisu alipataje uviti maalumu ?
Kama kuna doubt huyo mwenye doubt atoke hadharani kama ambavyo Lissu amesema hadharani, atuambie kuwa huyu Christina Lissu hakuwa na vigezo vya kupata ubunge wa viti maalumu.

Pia jenga hoja kuwa kama kulikuwa na mapungufu kwenye kupata viti hivi haitakiwi kurekebisha ili Lissu atulizwe kwa hoja jadidi
 
Back
Top Bottom