johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Wapi alipowasema wenzake? 🐼Basi asiwaseme wenzake, awaache nao wajifunze makosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi alipowasema wenzake? 🐼Basi asiwaseme wenzake, awaache nao wajifunze makosa
Yafaa viti maalum VIFUTWE ni kudhalilisha wanawake tu.Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu
Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana
Kuna wakati Spika Ndugai alionya bungeni endapo Chadema itaendelea na Rushwa za ngono Kwenye uteuzi wa Wabunge wa Viti maalumu basi angemjulisha rasmi Msajili wa Vyama Vya siasa Kwa hatua zaidi
Ahsanteni sana 😄
Pia soma
- Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
Ndesamburo alimpa mwanae Lucy Owenya na mkwewe Grace Kiwhelo 😂😂Akiwa kamati ya maamuzi ulitaka aache dada yake?
Chadema walikuwa viongozi wanagawana viti maalumu kila mmoja anampa wake
Lisu pia naye alijigawia wake Wengine wakiwapa hawara zao yeye akampa dada yake
Hilo la kujifanya yeye msafi sio kweli kwenye hilo la viti maalumu
Hapo aliposema YEYE hana maslahiWapi alipowasema wenzake? 🐼
Unafahamu Elimu yake yule Tina? 😂
Unadhani Tundu Lisu alianzia siasa Chadema kama akina Pambalu 😂😂😂Lissu kachukua risk kibwa sana, endapo ataangukia PUA basi safari yake kisiasa itakuwa imefikia mwisho rasmi maana sidhani ataendelea kuwa CDM kwa namna alivyo haribu hali ya hewa.
Tofauti na mwenzake ambaye atabakia katika chama kama mjumbe wa kamati kuu wa kudumu endapo naye akiangukia pua.
Ukiangalia hapa utaona Lissu kaingia kwa miguu yote miwili yaani liwalo na liwe kitu ambacho wataalamu wa siasa wanaita ni hatari sana kwa maisha yake ya kisiasa yajayo endapo kura zikipelea.
Ni sawa na kuuza nyumba afu hela zote unaweka mkeka!! ukitiki wewe ni milionea ila ukibuma mzee shughuli.
Hana ndio kama Kiongozi wa ChademaHapo aliposema YEYE hana maslahi
Elimu kubwa IPI?i dunno , lkn najua Halima Mdee ana elimu kubwa tuu …
Kuchukua maamuzi magumu ni kwa yule jasiri na dhamira ya kile anachokitetea.Lissu kachukua risk kibwa sana, endapo ataangukia PUA basi safari yake kisiasa itakuwa imefikia mwisho rasmi maana sidhani ataendelea kuwa CDM kwa namna alivyo haribu hali ya hewa.
Tofauti na mwenzake ambaye atabakia katika chama kama mjumbe wa kamati kuu wa kudumu endapo naye akiangukia pua.
Ukiangalia hapa utaona Lissu kaingia kwa miguu yote miwili yaani liwalo na liwe kitu ambacho wataalamu wa siasa wanaita ni hatari sana kwa maisha yake ya kisiasa yajayo endapo kura zikipelea.
Ni sawa na kuuza nyumba afu hela zote unaweka mkeka!! ukitiki wewe ni milionea ila ukibuma mzee shughuli.
2015 alimuondoa mbona akasema agombee jimboni. Hakuendelea 2015-2020. Na hili amelisema wazi kwenye interview zote kuwa anapinga viti maalum akae miaka mingi.Muongo aliwahi mteua dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu Chadema
Alikua na Msc ya Economics kutoka makerere. Alikua na vigezo na alikaa muhula mmoja tu 2010-15 na akapisha. This aligns na maono ya lissu kuwa mtu asikae vipindi vingi bungeni kwa kiti maalumlabda ( tundu lisu) akueleze pia dadake aliitwa christina lisu nafikiri alipataje uviti maalumu ?
Hawa jamaa wanajitahidi kudiscredit kila kitu anachofanya Lissu to ni avail, dalili za desperationAlikua na Msc ya Economics kutoka makerere. Alikua na vigezo na alikaa muhula mmoja tu 2010-15 na akapisha. This aligns na maono ya lissu kuwa mtu asikae vipindi vingi bungeni kwa kiti maalum
Issue ni kuwa alimpa2015 alimuondoa mbona akasema agombee jimboni. Hakuendelea 2015-2020. Na hili amelisema wazi kwenye interview zote kuwa anapinga viti maalum akae miaka mingi.
Kumpa ina maana hakuwa na qualification za kupata ubunge? Na hoja zake ni kuwa kwanza ukomo na ikiwezakana wakagombee ubunge kwani wanaweza.Issue ni kuwa alimpa
Mbona hakuwapa dada wa wengine akampa dada yake
Alimuondoa akiwa keshalamba mamilioni ya bunge
Mtaji tosha kumsaidia dada yake wa kuanzia maisha
Alikua na Msc ya Economics kutoka makerere. Alikua na vigezo na alikaa muhula mmoja tu 2010-15 na akapisha. This aligns na maono ya lissu kuwa mtu asikae vipindi vingi bungeni kwa kiti maalum
Aliyeshauri Christina aombe Ubunge wa Viti maalumu ni Mzee Mengi na NdesamburoIssue ni kuwa alimpa
Mbona hakuwapa dada wa wengine akampa dada yake
Alimuondoa akiwa keshalamba mamilioni ya bunge
Mtaji tosha kumsaidia dada yake wa kuanzia maisha