johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
huyo hawara ni miongoni mwa wale 19?Lissu ashawahi kuwa na dada Viti Maalum, kwa sasa ni marehemu.
Mbowe yeye alikuwa na hawara yake, Joyce Mukya
Muongo aliwahi mteua dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu ChademaMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu
Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana
Kuna wakati Spika Ndugai alionya bungeni endapo Chadema itaendelea na Rushwa za ngono Kwenye uteuzi wa Wabunge wa Viti maalumu basi angemjulisha rasmi Msajili wa Vyama Vya siasa Kwa hatua zaidi
Ahsanteni sana π
Pia soma
- Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
Yule na dadaye Zitto Kabwe waliteuliwa Kwa sababu za kiintelejensiaMuongo aliwahi mteua dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu Chadema
Alishajifunza makosa husika,kwa sasa ni mtu safi kabisa.Muongo aliwahi mteua dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu Chadema
CCM ndio wakongwe wa rushwa za ngono, miaka ile kama ulikuwa mfuatiliaji wa siasa ndani ya CCM kuna jimama lilikuwa linaitwa shangingi la NEC.Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu
Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana
Kuna wakati Spika Ndugai alionya bungeni endapo Chadema itaendelea na Rushwa za ngono Kwenye uteuzi wa Wabunge wa Viti maalumu basi angemjulisha rasmi Msajili wa Vyama Vya siasa Kwa hatua zaidi
Ahsanteni sana π
Pia soma
- Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
Alikuwa na mamlaka ya kumteua mtu kuwa mbunge viti maalumu?Muongo aliwahi mteua dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu Chadema
Akiwa kamati ya maamuzi ulitaka aache dada yake?Alikuwa na mamlaka ya kumteua mtu kuwa mbunge viti maalumu?
Kwa hiyo huyo dada yake alikuwa hastahili kupata hiyo nafasi au ni kwa sababu ni ndugu yake?Akiwa kamati ya maamuzi ulitaka aache dada yake?
Chadema walikuwa viongozi wanagawana viti maalumu kila mmoja anampa wake
Lisu pia naye alijigawia wake Wengine wakiwapa hawara zao yeye akampa dada yake
Hilo la kujifanya yeye msafi sio kweli kwenye hilo la viti maalumu
Basi asiwaseme wenzake, awaache nao wajifunze makosaAlishajifunza makosa husika,kwa sasa ni mtu safi kabisa.
Walishavuliwa lakini wameenda kortini.Covid 19 bado ni wanachama wa CHADEMA?
Unafahamu Elimu yake yule Tina? πlabda ( tundu lisu) akueleze pia dadake aliitwa christina lisu nafikiri alipataje uviti maalumu ?
Kama kuna doubt huyo mwenye doubt atoke hadharani kama ambavyo Lissu amesema hadharani, atuambie kuwa huyu Christina Lissu hakuwa na vigezo vya kupata ubunge wa viti maalumu.labda ( tundu lisu) akueleze pia dadake christina lisu alipataje uviti maalumu ?