Pre GE2025 Tundu Lissu: Mungu hajasema tulale tuombe, amesema nchi yetu tuipiganie

Pre GE2025 Tundu Lissu: Mungu hajasema tulale tuombe, amesema nchi yetu tuipiganie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Huyu jamaa ana hoja sana kama ndo ule uchaguzi wa 2019 nawa 2020 ambao college mate wangu Diploma ya sheria chuo cha Mahakama Lushoto alisimamia. Aliniambia mambo mengi sana ya kipuuzi na akateuliwa kuwa Mkrugenzi huko kusini mojawapo wa wilaya za mkoa wa mtwara na amewaumiza sana upinzani uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi hauwezekani tena kwa mazingira ya sasa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wa kuipigania ndio nyie wa jf na Twitter zamani X au kuna Wengine?
 
Tone moja la mafuta ya taa huharibu radha ya chakula au kinywaji - serikali tusibeze wala kutupilia mbali Maneno hayo
 
Back
Top Bottom