Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wasipoteze hela bure tu,kama hakuna mabadiliko uchaguzi wa nini sasa na matokeo wanayo.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi hauwezekani tena kwa mazingira ya sasa.
Wananchi lazima wajulishwe fedha zao za kodi zinavyoliwa ili next time tukiwaambia tuandamane watoke.Wasipoteze hela bure tu,kama hakuna mabadiliko uchaguzi wa nini sasa na matokeo wanayo.
Hivi ile gesi ikiisha tupeleke kwa Steve Nyerere akaijaze tena?Lissu ana mkwara mzito. Mama akisikia hivi, anatuma chawa wake kugawa mitungi ya gesi
Wewe huna gesi ujaze mwenyewe? 😂Hivi ile gesi ikiisha tupeleke kwa Steve Nyerere akaijaze tena?
Utapeli wenu ni duni sana!Wewe huna gesi ujaze mwenyewe? 😂
Wa kuipigania ndio nyie wa jf na Twitter zamani X au kuna Wengine?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi hauwezekani tena kwa mazingira ya sasa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
mnataka kumuongezea millage? Mumkamate.Tone moja la mafuta ya taa huharibu radha ya chakula au kinywaji - serikali tusibeze wala kutupilia mbali Maneno hayo