Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Wala hahitaji kusamehewaa maana hajakoseaaa, tatizo ukweli haupendwiiiii siku zoteee Lissu ana akili sanaa inabidi awe mshauri mkuu wa Kikwetee na vilaza wengine bungeniii
 
Mimi nataka nikubaliane nawe,ila uniambia Tundu kakosea wap na hataki kukiri kosa la wazi kama unavyosema. Pili kafanya ujinga upi?

Huwezi kumtuhumu mtu kwa hisia,kila mtu anasema lissu kamtukana mwl,kakosea ila makosa hayo hayasemwi ni yapi,je kasema mwl ni mjinga,au mp.umbavu au vngnevyo. SEMENI MAKOSA YA LISU TUYAJUE. VINGINEVYO HUO NI UJUHA NA UNAFIKI.
 
Jibu kwa hoja je wapo kihalali
 
Huyo kijana Tundu Lissu si rizki!!
Aanze kufuatiliwa wazazi wake walimpatapataje?
 
yule mzee alikuwa haambiliki. ndo maana hata sera yake ilikuwa "zidumu fikra SAHIHI za mwenyekiti wa chama".

Lakini hata Newton alishatuambia kila katika tendo kuna sawa na kinyume chake.
 
Mshauri akapige magoti pale bungeni na aombe radhi.
 
Kama uno wameipokea hati ya muungano lisu ni nani mpaka aendelee kuhoji?
 
Tundu Lisu kasema yafuatayo:
-Hati ya Makubaliano haipo hadi UN. Tanganyika iliondolewaje UN? Mjinga Tundu Lisu.
-Kwamba wapo waliozoea vya kunyonga na haramu. Mpasho huu wa kijinga aliuelekeza kwa nani, kwa lipi?
-Kwamba Mwalimu hakuwa Mungu wala Malaika. Sawa kabisa. Hakusema pia kwamba Mwalimu hakuwa Shetani au Luciferi!
-Mtu na akili yako timamu unaambiwa TANZANIA haipo kihalali bado unamshangilia mjinga kama huyu Tundu Lisu?
 
Wadau.,naomba kufahamishwa tusi ambalo Tundu Lissu amemtukana Mwalimu Nyerere,maana nimekuwa nikiskia watu wakilalama na kumlaumu Lissu.
Mod nsomba usiunganishe uzi huu..ili tupate ukweli..
 
Wadau.,naomba kufahamishwa tusi ambalo Tundu Lissu amemtukana Mwalimu Nyerere,maana nimekuwa nikiskia watu wakilalama na kumlaumu Lissu.
Mod nsomba usiunganishe uzi huu..ili tupate ukweli..

mkuu watu wanalalamika tu lakin hawataji tusi pengine ni njia ya kututoa kwenye hoja za lisu
 
Wadau.,naomba kufahamishwa tusi ambalo Tundu Lissu amemtukana Mwalimu Nyerere,maana nimekuwa nikiskia watu wakilalama na kumlaumu Lissu.
Mod nsomba usiunganishe uzi huu..ili tupate ukweli..
Haya ndiyo mawazo ya BAWACHA.
 
Tusi kubwa lisilovumilika ni lile la kutaarifu umma kuwa Mzee Jumbe amewekwa kizuizini hadi leo huko Mjimwema.
Sijawahi kuona mtu anaitwa lyimo yuko sawa.
 
Tusi kubwa lisilovumilika ni lile la kutaarifu umma kuwa Mzee Jumbe amewekwa kizuizini hadi leo huko Mjimwema.
mkuu kwani ni maneno yake au ya jumbe?yeye si alinukuu kile ambacho wanzanzibari wanalalamika na jumbe mwenyewe
 
Wadau.,naomba kufahamishwa tusi ambalo Tundu Lissu amemtukana Mwalimu Nyerere,maana nimekuwa nikiskia watu wakilalama na kumlaumu Lissu.
Mod nsomba usiunganishe uzi huu..ili tupate ukweli..
Nami nimefuatilia sana sijalipata lakini nimesikia wengi wakisema kuwa ni hili hapa: fuatilia clip hii https://www.youtube.com/watch?v=W2JsPyb683o.
Ukiweza basi iupdate kwa kuiweka page ya kwanza.
Tanzania siku hizi ukweli unaitwa matusi kama kweli mimi na wewe hatujakosea!
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=W2JsPyb683o#t=219

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…