Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

 


Nyerere alisema "Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano",vichaa wakasema Zanzibar ni nchi.
Nyerere alisema "Azimio la Arusha ni mkombozi wa Watanzania",vichaa wakasema Azimio la Arusha linaharibu nchi.
Nyerere alisema "ccm si mama yangu wala baba yangu",vichaa wanang'ang'ania ccm.
Nyerere aliacha Nchi moja serikali mbili lakini hakuacha Nchi mbili serikali mbili.
Nyerere kama anasema kwenye nchi ya wafu,basi anawalilia vichaa hawa.
 
Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu

Hiyo ni hoja ya kijinga sana. Mbona mimi na wewe atujafika bungeni?
Mambo hutendeka kwasababu Mungu amependa tu na sio Nyerere.
 
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".

Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:
Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?
 
Last edited by a moderator:

Nani kakwambia nyerere ni mungu?Akili zingine hizi
 
Sio kwa ajili Tundu Lissu kasema, bali ni kweli Nyerere sio mungu mtu, ni makosa makubwa kumpigia magoti Nyerere huku tukijua fika kuwa baadhi ya falsafa zake zimetubebesha mzigo mkubwa na mzito sana hadi leo.

Hata hili likatiba linalotulia mapesa yetu chungu mzima ni kutokana na makosa yake ya kutokuiingiza misingi ya azimio la arusha kwenye katiba.
 
Jamani nyerere twa mupa heshima 1.kwa 7babu ni mwasisi 2. aliongoza jingaz 3 aliongoza watu wachache 4 alikuwa na maamuz
 
Lissu alipotafuta umaarufu kupitia jina la Mwalimu. Huyu jamaa ni very arrogant
 

Wanaofikiri Nyerere ni "Mungu Mtu" hawatakuelewa, wanadhani Nyerere hajawahi kufanya makosa.
 

Wacha mihemuka we bimkubwa,nyerere hajawa mtakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…