Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Lisu alikuwa anatafuta sifa....siju ingemgharimu nini kama angeongea bila kumkashifu Baba wa taifa.

Ndio maana hata wakati mwingine simuhurumii kwa majanga yanayomkuta.
 
acha upoyoyo mkuu ni ushauri tu
 

Huyo huyo atawafaa....
 
Na ccm hapo ndio mnapofail, mnaona dhambi mtu kuwakosoa
 
Hakuna binadamu asiyekosea kwataarifa yako watu wengi niwavivu wa kufikiri binadamu km binadamu ana akili nyingi sana ambazo hazitumii 'we do not excersie much of our brains'wale ambao wana utumia haswa ubongo wao hawana fursa ya kuonekana nyuma ya mikamera yenyu
 


Yeye TL sio muongo wala mdanganyifu?
 
Mkuu hawa wanasiasa huwa wanadhani sisi ni mbumbumbu na wasahaulifu.
Yaani lissu kaanza kusifia awamu ya Nyerere hadi ya Kikwete ...ha ha ha
Nyinyi ni mambumbumbu malofa na wapumbavu , hilo mbona mzee Mkapa alishalisema au ndio vichwa vya panzi mmeshasahau ?
 
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Samahani hivi Mwalimu alipong'atuka nchi ilikuwa katika hali gani? Kiuchumi, viwanda, hali za wananchi nk?
Yako mazuri ya Mwalimu na mabaya yapo pia hakuwa Mungu na yeye mwenyewe alifika hatua akakiri mambo yalikwama.
Ni yeye alitaifisha majumba na viwanda na ni yeye alitoka madarakani viwanda hivyo vikiwa vimekufa na vingine vikiwa taabani!
Tutamkumbuka daima Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…