Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 6 iliyopita kabla ya MATAGA kuwepo duniani[emoji1787][emoji1787]Ng'wanampalala acha kujenga hoja mfu na kutaka public sympathy, weledi wa Tundu Lissu haufananishwi na wasomi wowote walio ndani ya ccm kwani ni mtu mwenye kwenda na fact na huwa na defending points, rejea hotuba ya mwalimu nyerere kuwa yeye sio malaika na kkuna sehemu yawezekana alikosea aliomba asamehewe, na kushauri watu wafate mazuri aliyoyafanya na sio mabaya aliyoyafanya, Sasa kuna wavivu wa kufikiri mnaleta tafsiri za kupotosha, h
Wakampiga risasi na akaponaTundu Lissu asubiri adhabu popote na wakati wowote sio leo wala kesho! Amuombe radhi Mwalimu Nyerere kupitia familia yake na awaombe radhi Watanzania
Jiwe walilokataa waashiHakuna lolote linalo wapa msukumo wa kumjadili t.lissu bali ni upeo finyu wa kutafakari mambo.
Mimi mwenyewe ni mfuasi na mkereketwa wa siasa za j.k nyerere lakini kwa uchambuzi makini wa jana inanipa muono fulani kuwa uongozi unapande mbili.
1.mema kwa umma kwa manufaa ya wengi.
2.ubaya kwa wachache ili kujenga taifa lililo imara.
Hivi ndivyo mwalimu nyerere alifanya na kwa kipindi hiki cha kutoka kwenye makucha ya wakoloni wa ulaya na arabuni ili kuwa ni sahihi.
Wakati kwa kipindi hichi cha kupambana na mkoloni mweusi c.c.yem pia tundu lissu yuko sahihi kurejea mapungufu yaliyojitokeza ili kuweka mambo sawa kwa watanzania,
na itusaidie kupata katiba bora itakayoweza kudumu zaidi ya miaka 100.
Viva tundu lissu.
Watabisha na kumtukana Lissu bure .Hata Nyerere alishakiri kuna mambo ya kijinga serikali yake iliyafanya na akasema tuache ya kijinga tuchukue mazuri!
Alisema ukweli hakumdhalilishaMachozi yananitoka hapa namna baba wa Taifa hili alivyodhalilishwa na Lisu mgombea Urais wa Chadema.
Kwa mtazamo wako hafifu, ila kwa fikra za wenye busara ni kauli hii ni tusi kubwa Sana kwa muasisi wa Taifa letu.Alisema ukweli hakumdhalilisha
Kwa mtazamao wako hafifi naomba.nikuulize nyerere MUNGU au binadamu?Kwa mtazamo wako hafifu, ila kwa fikra za wenye busara ni kauli hii ni tusi kubwa Sana kwa muasisi wa Taifa letu.
Muanzilishi wa Chadema mwenyewe mzee mtei ingawa alikuwa na tofauti na Nyerere lakini anakiri kauli hii ni mbaya sana na hakufurahishwa nayo.
Kwa mtazamao wako hafifi naomba.nikuulize nyerere MUNGU au binadamu?
Mshambulie au mtukane Mwalimu at the pain of losing everything.Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Machozi yananitoka hapa namna baba wa Taifa hili alivyodhalilishwa na Lisu mgombea Urais wa Chadema.
Tundu Lissu anasoma na kufanya reference wengine ni watetezi wa tumbo tu. Kila aliyempinga Lissu kwa hili anaendeleza kuishi katika uongo
Katika kumtusi Mwalimu, Lisu lazima aomne radhi.Leo Tundu kaenda kulala pembeni ya kaburi la Nyerere akiamini mzimu utampa urais
Kabisa,Mshambulie au mtukane Mwalimu at the pain of losing everything.
Even in death Mwalimu is a potent force.
Ushamba uliopitiliza huu! Kwahiyo kwakuwa jiwe anakujengea barabara hutakaa uamini kwamba anaishi akisema uongo ilhali alitudanganya kashusha bei ya sukari, katengeneza ajira milioni 8, maendeleo hayana chama, etc?Sasa hivi anatambua eti Nyerere alijenga Reli
Kama anaamini hivyo anajipendekeza kwa sababu zipi?Ushamba uliopitiliza huu! Kwahiyo kwakuwa jiwe anakujengea barabara hutakaa uamini kwamba anaishi akisema uongo ilhali alitudanganya kashusha bei ya sukari, katengeneza ajira milioni 8, maendeleo hayana chama, etc?
TAL sio size yenu MATAGA. Ukipata nafasi ya kumuuliza kuhusu hilo alilolisema wakati huo na katika muktadha huo atakufafanulia vizuri. Nina uhakika hatakana kuwa hakusema. Atakiri alisema na kukupa ufafanuzi mzuri sana. Nyerere hakuwa malaika, alifanya makosa mengi kama alivyofanya mazuri mengi, na hiyo haiwezi kutuzuia kujadili makosa aliyofanya ili tusiyarudie. Yeye mwenyewe akiwa mstaafu alikuwa akirudiarudia kutaja makosa ya wakati wa utawala wake. Sasa nyie MATAGA mnataka sote tuamini katika fikira za kijima kwa Nyerere alikuwa malaika, mungu-mtu kama Magufuli anavyotaka kujifanya!!!!Leo anajifanya anamheshimu hii ndio sifa kuu ya Tundu Lissu ya ukigeugeu