Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

..kama alikuwa haungi mkono basi asingejiuzia yeye na ndugu zake.

..huwezi kufanya ufisadi halafu ukajificha kwa Raisi.
Kiserikali aliyekuwa na uwezo na mamlaka ya kufany hivyo tu, ndio atuhumiwe lakini na apewe nafasi ya kutoa maelezo ya utetezi. Sio huyu...
 
..r u serious?

..yaani unataka kusema mashambulizi ya risasi ni namna ya kuwafundisha waTz aina ya TL jinsi ya kufanya siasa?

..uhuni aliofanyiwa TL ni jambo la kukemewa categorically na siyo kujaribu kuuhalalisha kwa namna yoyote ile.

..Nimemfuatilia TL toka miaka ya 90. Na sioni jambo lolote lile la kisiasa au kiuanaharakati ambalo amelifanya linalohalalisha kushambuliwa kama mnyama pori.
Sasa hivi niko harusini, nitakujibu phylosophically baadaye.
 
..tapeli kuliko yule aliyeuza nyumba za serikali kifisadi?

..au aliyekurupuka kuvunja mikataba na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha?
Hakuuza bila idhini ya boss wake.
 
Sasa hivi niko harusini, nitakujibu phylosophically baadaye.

..filosofia ya kuhalalisha upande mmoja ujibu hoja za kisiasa kwa kutumia silaha za kivita.

..shambulizi dhidi ya TL halikubaliki kwa namna yoyote ile.
 
hapo nyerere anatukanwa au anaambuwa ukwel....na yeye ni nan hasa mpaka akikosea asiambiwe? ni vitu vingap vya kipuuz kafanya nyerere mpaka leo watu wanalumbana na kaishakufa..ni viongoz wangap wabov nyerere kaiandalia tanzania hii...hana uspecial wiwote ni mtu kama wewe kama tundu lisu..akizingua anapewa black and white

Huko aliko anajutia aise.
 
..hiyo siyo kinga au utetezi.

..ameliingizia taifa hasara kubwa kwa kuuza nyumba zile kifisadi.
Hamna kitu unajua wewe, maybe you're young or foreigner, ati kifisadi. As if Hakuna nyumba zingine za kiserikali zilizouzwa awamu zilizopita na after him.
 
Jamani huyo Toto Tundu Lissu msameheni bure tu yeye ni mtu wa mihemko tu,kaingizwa chaka na kushadidia kuwa eti Baba wa Taifa alianzisha vita na Uganda kwa sababu zake mwenyewe za kisanii labda nadhani Kipindi hicho alikuwa hajazaliwa so hajui jinsi vita ilivyoanza,hajui jinsi tulivyoanza kufundishwa namna ya Kuchimba Mahandaki ya L,Y na jinsi ya kukimbilia humo once tukisikia miungurumo mikali ya ndege za kivita,mafunzo ya ulinzi wa mgambo makazini kuchukua Tahadhali kwa mtu yeyote asiyejulikana na mengine meengi.
Tazama mpumbavu mwingine huyu sjui huwa ni mbegu za ma baba wawili zinaingia pamoja kwa maza ako make akili yako ni nafuu ya nguruwe,mihemko ipi sasa lkn mtu anaumwa bado tu anawaumiza mnaskitisha sana.
 
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Kwani nyerere yeye asipondwi kwanini wakati anamakosa mengi tu wengine kwakua walipata upendeleo kwenye utawala wake wanamuona kama nabii wakati ndio muasisi wa kubagua watu kielimu na kiuongozi sasa sijui kanufaika nini maisha yanaendelea wasomi aliozalisha yeye ndio mafisadi wengine kila dili lazima watajwe mungu hulipa nakama hawataki kufahamu nchi niyetu sisi wote ufisadi hauishi milele
 
Ha
Unaweza kusema mengine yote lakini tukubaliane tu kuwa, Mwl. Nyerere hakuwa mtu wa kawaida. Historia inabainisha hivyo na wala siyo yeye anayebainisha kwenye historia. Think bigger!.
Hakuwa mtuwakawaida alipenda ubaguzi hata TV aliangalia yeye sijui kwanini hatasifahii huwa hapewi katika ukumbusho wakati hii ilikuwadesturi yake naalikuwa akishaangalia utabiri wahaliyahewa hutoka na kutangazia uma kuwa safari hii mvua nikubwa sana mabondeni muhame
 
..filosofia ya kuhalalisha upande mmoja ujibu hoja za kisiasa kwa kutumia silaha za kivita.

..shambulizi dhidi ya TL halikubaliki kwa namna yoyote ile.
When you are down, in a hole, it takes a very wise fellow to explain to the man up above, with the rope to lower it down.
Like wise, a fool will just ask
" you stupid man, what does it take to lower the rope?".
 
Mjadala umegeuzwa kuwa cdm vs ccm, sipo huko, ninachokijua mimi ni kwamba kuna siku wewe utakufa pia, sooner or later, ila kufa kwako hakutosimamisha majira wala maisha ya watakaobaki hai na utakumbukwa kwa ulichokifanya ukiwa hai, chema au kibaya (kama at all una cha kukumbukwa), otherwise utakuwa umeenda wewe na roho yako, completely.
 
Mwanzoni Wa Zanzibar kabla ya kumjua Lissu walikuwa wana mwona adui yao lakini baada ya kufahamu ame kuwa rafiki yao
 
kweli kabisa Dr.harith ghassany anaelezea mambo mengi sana mabaya yaliyofanywa na Nyerere 1.usanii kwenye muungano 2.kuzorotesa ustawi na maendeleo ya uislamu pale aliporatibu mpango wa kuua jumuiya ya waislam ya afrika mashariki 3.kuchochea vurugu mbalimbali africa mfano mgogoro wa biafra_nigeria , vita ya kagera 4.mgogoro wa burundi 5.kufukuza kazi wazanzibari waliokuwa wanahoji muungano....
nitaendelea
mpumbavu wwe
 
Back
Top Bottom