Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na CHADEMA hawana Ilani?

Ilani ya ccm au chauma unaijua?

Watu Hawana muda na ilani watu wanataka kumsikia mgombea anajua kiasi gani watu wanaitaji mabadiliko
 
Wanayo ilani,kwani wewe unaitaka ilani ya CHADEMA?
Ndio mkataba kati yao na wananchi,
Sasa kama yenu iko vichwani kwenu, mkiwa wehu na ilani inaehuka?
Washabiki wa chadema twambieni hicho kifungu kuhusu madini kinasemaje mkishaweak rehani?
Mbona mnakwepa kukiweka hapa kama mnajiamini?
 
Kila Rais na priority zake, do u think pesa za mradi zitarudi baada ya miaka mingapi?

Ukumbuke total ni zaid ya 5trilion na Mpaka Sasa mradi una 50%
 
Ndio mkataba kati yao na wananchi,
Sasa kama yenu iko vichwani kwenu, mkiwa wehu na ilani inaehuka?
Washabiki wa chadema twambieni hicho kifungu kuhusu madini kinasemaje mkishaweak rehani?
Mbona mnakwepa kukiweka hapa kama mnajiamini?

Lisu ndio alianza kupaza sauti kuhusu mambo ya madini tangu Enzi za mkapa, upinzani ndio walipaza sauti mambo ya buzwagi na wizi wote wa madini

Nashangaa now mnawaona wao kama ndio watakuwa wezi wa hayo madini
 
Habari wana jamvi,

Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani...

Wewe unata ilani au katiba?
 
Tundu hana sera, anafuata maelekezo ya waliomtuma hao wazungu, kwao mpaka leo mpirani mashabiki hawaendi

Wazungu Hawana muda wa kumtuma mtu, kama wakitaka tuhangaike si wanazuia tu arv, condom na madawa? Yan hapo tu tunakufa wote kwa miaka michache
 
Yaaanii wanatia huruma, utasikia Leo wanaponda ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kesho wakiamuka kivingine, utasikia wanasema eti nao watajenga na kufufua viwanda. Yaaanii hatujui wanamalengo gani na taifa hili.

Nyie viwanda vyenu 100 kwa kila mkoa viko wapi?
 
Habari wana jamvi,

Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani...
Kwani yule waziri aliekuwa anatembea na ilani ilimsaidia kufanya nini iliyokuwemo ndani yake? zaidi ya hujuma ? ilani ipo kwao waaminio kwayo
 
Wazungu Hawana muda wa kumtuma mtu, kama wakitaka tuhangaike si wanazuia tu arv, condom na madawa? Yan hapo tu tunakufa wote kwa miaka michache
Tatizo wafuasi wa chizi Lissu akili zenu sawa na za n'g.o.m.b.e tu
 
Tatizo wafuasi wa chizi Lissu akili zenu sawa na za n'g.o.m.b.e tu

Mpaka hapo Nani unamuona anaakili kama za paka? Kama sio ww

Yan ww na akili zako kabisa unaamini wazungu wanaweza kumtuma mtu Tanzania?

Wakati hata hiyo internet unayotumia ni Yao hahaha si wanazima tu server zao basi hupati kitu
 
HAWANA ILANI CHADEMA au CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO.

WANA LAANA BADALA YA ILANI.
 
Habari wana jamvi,

Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani...
Dogo Ulikuwa hujazaliwa mkapa aliposema ilani ya ccm haitekelezeki, Tangu wakati huo mpaka Leo ilani ya ccm haijawahi tekelezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…