Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na CHADEMA hawana Ilani?

Ilani ya ccm au chauma unaijua?
Watu Hawana muda na ilani watu wanataka kumsikia mgombea anajua kiasi gani watu wanaitaji mabadiliko
Watu wanataka kuelezwa Kwanza unefanya Nini miaka mitano iliyopitauwe Raisi , mbunge au diwani.

Chadema wabunge na madiwani ukiwauliza miaka mitano waliyokaa wamefanya Nini wanakuwa wakali Kama pilipili hawataki kuulizwaa kwa kuwa Hakuna walichofanya

Hayo mabadiliko Chadema mumeimba toka kipindi Cha Lowasa na wimbo wenu Lowasa mabadiliko ,mabadiliko Lowasa!!!

Mkapewa wabunge na madiwani kibao Leo ukiwauliza tupeni ripoti ya mabadiliko mliyofanya toka mshike hawataki kutoa na uchaguzi huu wanakuja na porojo zile zike za Lowasa za mabadiliko ila safari wanebadilisha kiongozi wa kwaya wamemuweka Lisu kuimbisha wimbo ule ule wa kitapeli ulioingiza madiwani na wabunge wa Chadema ambao hawana mabadiliko yeyote wamefanya na hawataki kuulizwaa
!!!

Wanataka kutumia wimbo ule ule kutapelia Kuingia bungeni Tena na Lisu anauimbisha kwa Mori Baada ya kupokea u kiongozi wa kwaya kwa Lowasa
 
Mpaka hapo Nani unamuona anaakili kama za paka? Kama sio ww

Yan ww na akili zako kabisa unaamini wazungu wanaweza kumtuma mtu Tanzania?

Wakati hata hiyo internet unayotumia ni Yao hahaha si wanazima tu server zao basi hupati kitu
We unamjua Robert Amstardam?
 
Dogo Ulikuwa hujazaliwa mkapa aliposema ilani ya ccm haitekelezeki,
Tangu wakati huo mpaka Leo ilani ya ccm haijawahi tekelezwa
Hata ya Marekani haijatekelezeka kwa asilimia 100 mpaka leo
 

Kauli ya rais alipokuwa njian kutoka masasi nadhan uliielewa vizuri sana
Kuhusu kuwa na mbunge wa kutoka upinzani
 
Itafute,humu JF ipo!Usiwe mvivu,kabla ya kuandika huu uzi ungehakikisha una taarifa zote!
 
Mimi nitampigia kura mgombea wa Chadema yoyote yule hata kama hafai kuwa kiongozi achilia mbali kukosa sera.
 
Itafute,humu JF ipo!Usiwe mvivu,kabla ya kuandika huu uzi ungehakikisha una taarifa zote!
Kwa hiyo wewe kama mshabiki hujui ilani yako inasema nini ila unashangilia tu?Au mpaka mtu mwingine akuwekee hapa?
Wanachadema hawajui hata ilani yao inasema nini,
Ila mnatumia ilani ya JF kwa mawazo ya wachangiaji?
Chadema haina dhamila ya kweli, hata pesa za ilani kuchapisha au kuweka kwenye mtandao mnashindwa au mnajua mapungufu yaliyomo sasa manaogopa kuitoa kwa wananchi maana itapingana na maneno ya mgombea wenu.
 
Ilani ipo tu ila sidhani kwamba ni kwa ajili ya kuombea kura... Na nahisi haikuandikwa ili kuwatandika Jembe na Nyundo.
 
Anayosema Lissu yapo kwenye ilani na ilishizinduliwa,kinachofanyika ni kuwapa muhtasari wananchi wa yale yaliyoko kwenye ilani!Kama wewe hujaiona ilani ya CDM,ni ujinga wako!
Pambana na hali yako!
 
Atusomee kifungu cha 84 alichokisema polepole, pia sijawahi kuona hata siku moja akisoma kutoka humo kwenye ilani.
Hata kuionyesha tu.
Kwani nini hukumwambia huyo Chakubanga wenu akusomee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…