Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

Maryam Malya

Senior Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
116
Reaction score
260
Na Mwal. Maziku, Singida

Makamanda salaam!

Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani ameonyesha dhamira yake si njema, baadhi ya maombi ni pamoja na ;

1. KUOMBA KULIPWA MISHAHARA YA KIBUNGE, POSHO, NA MALUPULUPU YOTE- Kwa akili ya kawaida huwezi kupinga mtu kudai maslahi yake lakin hoja yangu ni kwanini aweke jambo hili kama kipaumbele akijua fika mahitaji ya chama? Unakumbuka msimamo wetu juu ya posho?

2. ATAFUTIWE PASSPORT YA KUSAFIRIA BAADA YA KUPOTEZA YA AWALI- Kiongozi wa chama cha Upinzani unakutana na Rais unaanza na hoja ya pasi ya kusafiria ? tena uliyoipoteza kwa uzembe ? Yani tabia za kina John Mrema kwenda kulewa pale Triple Seven ndio unaanza kuzionyesha wazi wazi? Ulipoteza vipi ile ya awali?

3. APATIWE ULINZI BINAFSI NA WASAIDIZI WA KUTEMBEA NAO- Hivi kaka Tundu Lissu umekuaje wewe? Umepata fursa ya kipekee kuzungumza na Rais unaweka hili kama kipaumbele? Hili lilipaswa kuwa nje ya majadiliano kaka, aisee aibu naona mimi. Tumbo Tumbo Tumbo!

4. WABUNGE 19 - VITI MAALUM WAONDOLEWE BILA KUFUATA KANUNI- Hili liko wazi wabunge waondelewe baada ya Baraza kuu kukutana na sio kufanya uhuni kutokana na wivu dhidi ya Halima na wenzie. Kaka Lissu wewe hujui kwanini mpaka sasa baraza halijakaa? Umetuangusha sana TL sheria haiko hivyo!

Kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo tusipopata viongozi wazuri huyu Lissu na wenzie wanaojijali wao tu na matumbo yao wataua chama hiki. Sasa nimeelewa kwanini Kamanda Mbowe hataki kumpa mtu mwingine kiti, wengi wabinafsi na Tundu Lissu ni mmoja wao.
 
We jinga kweli
 
kuna jamaa kibao wa chadema wamefungwa nchi nzima kwa sababu ya uchaguzi Tundu hajui??
 
Kuna kipindi nawakosoa wakuu wa Wilaya lakini wakati mwingine nawaunga mkono. Yaani na wewe ni mwalimu na unafundisha watoto wetu?
 
Huu ni upuuzi wa Hali ya juu.

Hivi huyu mleta thread hajayaona kabisa maombi mengine ya Tundu Lissu, isipokuwa kayaona hayo tu aliyoandika?

Hivi hajaona hitaji la Katiba mpya, ambalo TL aliliongekea kwa msisitizo mkubwa?

Hskuona lile hitaji la kuimarisha demokrasia nchini, badala ya nchi kuendeshwa kama ipo kwenye mfumo wa chama kimoja?

Huyo mwandishi anaonekana kuwa ameamua kutangaza propaganda ya CCM
 
Wafuasi wa Magufuli bila shaka wamechukia sana kikao hicho yani basi tu hawana namna lakini ndio hivyo maslahi ya nchi lazima yawe juu ya maslahi binafsi za waroho wachache.
 
Na Mwal. Maziku, Singida

Makamanda salaam!

Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani ameonyesha dhamira yake si njema, baadhi ya maombi ni pamoja na ;

1. KUOMBA KULIPWA MISHAHARA YA KIBUNGE, POSHO, NA MALUPULUPU YOTE- Kwa akili ya kawaida huwezi kupinga mtu kudai maslahi yake lakin hoja yangu ni kwanini aweke jambo hili kama kipaumbele akijua fika mahitaji ya chama? Unakumbuka msimamo wetu juu ya posho?

2. ATAFUTIWE PASSPORT YA KUSAFIRIA BAADA YA KUPOTEZA YA AWALI- Kiongozi wa chama cha Upinzani unakutana na Rais unaanza na hoja ya pasi ya kusafiria ? tena uliyoipoteza kwa uzembe ? Yani tabia za kina John Mrema kwenda kulewa pale Triple Seven ndio unaanza kuzionyesha wazi wazi? Ulipoteza vipi ile ya awali?

3. APATIWE ULINZI BINAFSI NA WASAIDIZI WA KUTEMBEA NAO- Hivi kaka Tundu Lissu umekuaje wewe? Umepata fursa ya kipekee kuzungumza na Rais unaweka hili kama kipaumbele? Hili lilipaswa kuwa nje ya majadiliano kaka, aisee aibu naona mimi. Tumbo Tumbo Tumbo!

4. WABUNGE 19 - VITI MAALUM WAONDOLEWE BILA KUFUATA KANUNI- Hili liko wazi wabunge waondelewe baada ya Baraza kuu kukutana na sio kufanya uhuni kutokana na wivu dhidi ya Halima na wenzie. Kaka Lissu wewe hujui kwanini mpaka sasa baraza halijakaa? Umetuangusha sana TL sheria haiko hivyo!

Kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo tusipopata viongozi wazuri huyu Lissu na wenzie wanaojijali wao tu na matumbo yao wataua chama hiki. Sasa nimeelewa kwanini Kamanda Mbowe hataki kumpa mtu mwingine kiti, wengi wabinafsi na Tundu Lissu ni mmoja wao.
Mbona wale wa michongo ni wasaliti namba moya ndani ya taifa hatisemi Wala kuwazongeni
 
Binti mimba inakusumbua,nenda hospital kabla hujajifungua.
 
Tuanzie hapa kwanza wewe ni mwalimu wa nini, au nimwalimu wa ngono,je unamalinda kweli maana unamasononeko kama mke mdogo,mh samia kesha kwambia lissu anaongea nae kama dada yake ukiacha swala la siasa uoni kama wanaukaribu? Je wewe unauwezo wa kuongea na mama samia kama dada YAkO? Muwe mnakunywa chai kwanza ndiyo mnaingia jf!
 
Na Mwal. Maziku, Singida

Makamanda salaam!

Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani ameonyesha dhamira yake si njema, baadhi ya maombi ni pamoja na ;

1. KUOMBA KULIPWA MISHAHARA YA KIBUNGE, POSHO, NA MALUPULUPU YOTE- Kwa akili ya kawaida huwezi kupinga mtu kudai maslahi yake lakin hoja yangu ni kwanini aweke jambo hili kama kipaumbele akijua fika mahitaji ya chama? Unakumbuka msimamo wetu juu ya posho?

2. ATAFUTIWE PASSPORT YA KUSAFIRIA BAADA YA KUPOTEZA YA AWALI- Kiongozi wa chama cha Upinzani unakutana na Rais unaanza na hoja ya pasi ya kusafiria ? tena uliyoipoteza kwa uzembe ? Yani tabia za kina John Mrema kwenda kulewa pale Triple Seven ndio unaanza kuzionyesha wazi wazi? Ulipoteza vipi ile ya awali?

3. APATIWE ULINZI BINAFSI NA WASAIDIZI WA KUTEMBEA NAO- Hivi kaka Tundu Lissu umekuaje wewe? Umepata fursa ya kipekee kuzungumza na Rais unaweka hili kama kipaumbele? Hili lilipaswa kuwa nje ya majadiliano kaka, aisee aibu naona mimi. Tumbo Tumbo Tumbo!

4. WABUNGE 19 - VITI MAALUM WAONDOLEWE BILA KUFUATA KANUNI- Hili liko wazi wabunge waondelewe baada ya Baraza kuu kukutana na sio kufanya uhuni kutokana na wivu dhidi ya Halima na wenzie. Kaka Lissu wewe hujui kwanini mpaka sasa baraza halijakaa? Umetuangusha sana TL sheria haiko hivyo!

Kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo tusipopata viongozi wazuri huyu Lissu na wenzie wanaojijali wao tu na matumbo yao wataua chama hiki. Sasa nimeelewa kwanini Kamanda Mbowe hataki kumpa mtu mwingine kiti, wengi wabinafsi na Tundu Lissu ni mmoja wao.
Duh ! Kweli hii dunia kuna watu na viatu. We we ni kiatu
 
CDM wameshikwa pabaya hamna ujanja tena zaidi ya kusubiri huruma ya mama
 
Huyu mtoa mada ni wa kupuuzwa tu.
 
Back
Top Bottom