Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu.
niliendelea kumfuatilia akiwa ughaibuni na taratibu sikupenda kukosa baadhi ya online discussions zake ,hasa alipojikita kutoa elimu ya uraia na mambo mengi yanayohusu katiba, Historia ya nchi yetu pamoja na mambo mengi sana yanayohusu sheria.Baada ya kugundua hilo niliandika kumuomba msamaha humu humu mtandaoni japo anaweza akawa hana habari kwani nilianza kumwelewa japo mwanzo sikumwelewa kabisa.
watanzania wengi walikuwa katika kundi kama langu. naamini wengi anaowafikia kwa sasa walishabadirisha mitazamo yao kama nilivyo mimi ila bahati nzuri sina uhaba wa kifurushi unlike watanzania wengi wenzangu hivyo nilimwelewa akiwa bado yuko ubelgig na ndo maana nilimuomba radhi mapema. na namuombea aendelee kuwafikia watanzania wengi kwa njia yoyote inayowezekana ili wapate kumwelewa kama mimi nilivyomwelewa.
Nimemwelewa huyu mh Antipus kiasi kwamba naanza kulemewa na msongo wa mawazo kwani nikimsikiliza how genuine the gentleman is na nikawaza ni watanzania wangapi bado wapo kwenye kundi nililokuwemo ama kwa kutopata ujumbe wake au kwa kuamua kuwa chawa forever nahsi maumivu makubwa.
Nadiriki kusema Tundu Antipus Lissu ni mwanasiasa aliyetokea kwa mara ya pili baada ya mwalimu nyerere kwa mambo mawili.
Moja; kuelimisha jamii
Tundu ni mwalimu ; Si watanzania wa sasa ama wa miaka kadhaa iliyopita waliojali kuelimisha jamii baada ya mwalimu nyerere. watanzania wengi almost hundred percent wamenyimwa elimu ama kwa maksudi na watawala ama na mifumo kwa kutokujua na ndo maana tuko hivi sisi watanzania. its naked truth kwamba watanzania tuko hivi kwa sababu ya hilo. binafsi naumia nakata tamaa kuona level watu kufanywa chawa haijalishi wamesoma ama hawajasoma , Tatizo lingine ni namna wengi wenye nafasi zao wanavyoweza kuwanunua watu na watu wakauza utu kwa sababu ya ujinga.
mbili. Being Genuine kwa lugha ya kuja na dream liner being Genuine is to demonstrate a strong moral and ethical code and their actions align with their stated beliefs and values. baada ya kumfuatilia huyu mwamba sina mwanasiasa hata mmoja kwa sasa ninaeweza kumfananisha na Tundu . nimemwangalia akiongelea Rushwa ambayo viongozi wa sasa hata neno lenyewe wanaliogopa hata kulitaja .msimamo wake juu ya wanachama wenzake na wasio wenzake juu ya neno Rushwa kwa kumwangalia kama alivyotuasa Mwalimu binafsi naamini kuwa the gentleman is genuine na sina wa kumlinganisha baada ya mwalimu.jambo lingine linanipa msongo wa mawazo ni wangapi wanamwelewa na hivi tulivyo kwa sasa watanzania.
Mwisho tusipomwelewa Tundu watanzania tujiandae kukanyaga the point of no return. kwa wale waliosoma physics watanielewa kwenye elasticity maana yake nini .
Eid Mubarack samahanini punctuation yangu nimekosa muda wa ku proof read.