Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
1,770
Reaction score
5,423
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
 
 
Hilo hata mimi nimewaza sana kuhusu yeye kutoka hadharani mapema kiasi hiki, ila maadam ni ushahidi uliotolewa mahakani, hio teyari imeisha. Mengine ni ya ziada tu. Kumbuka yule mpelelezi teyari kasema alikabidhi ripoti ya uchunguzi kwa mwajiri wake(kampuni ya tigo) na hawajaukana huo ushahidi uliotolewa mahakamani wala kukana kupewa hiyo ripoti ya uchunguzi.

Pia, kumbuka kesi ya msingi inayoendelea ni madai ya huyo bwana aliefukuzwa kazi kwa kufanya huo uchunguzi na kugundua kuwa waajiriwa wa tigo Tanzania walikuwa wanavujisha taarifa za Lissu kwa serikali.
 
Wewe jamaa unaotumia Nini kufikiri,umewahi kupata majeraha wewe,kunyamaza ni Bora kuliko hizi pumba unazojaza server bure!
Tatizo lako na Tundu Lissu ni moja!

Ukurupukaji! Hujasoma hata hoja yangu umeshakurupuka!
Mimi nimembeza Tundu Lissu anavyo approach mambo na hasa jambo kubwa kama hili!

Hapo juu nimesema Nina sympathize naye ktk masaibu yake lakini unanilaumu!

Najua hujui maana ya Sympathize na masaibu na kwa kifupi wewe ni mediocre au kilaza tu!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
( The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Tundu Lissu ni mwanasiasa, watu ambao mdomo ndiyo kifaa Kikuu cha kazi.
Hata hivyo, kati ya wanasiasa wenye akili na ujanja yumo juu.
Ametumia njia hivyo kumchokoza adui, ajitokeze Vita ianze.
Utamshinda vipi adui bila kumtoa shimoni umtandike?
Adui mjanja naye hatoki hovyo hovyo aliwe kichwa.
Tetegemee mpambano kidogo kama kila upande utatumia weledi kujenga hoja.
 
Tatizo wewe ndiye diyo intelligent halafu unawaona wenzako kuwa mediocre wakati in reality ni kinyume chake.

Ameeleza vizuri kuhusu ni wakati gani alitaarifiwa kuhusu uwepo wa hiyo kesi, akatulia akisubiri na wote mlikuwa hamjui kinachoendelea.

Pili, hajakurupuka, mpaka amekwenda public ameshashauriana na Wakili wake.

Kwa kilichopatikana kinatosha kabisa kufanya alichofanya na zuri zaidi inapofanyika hiyo kesi serikali haina uwezo wa kuingilia, na atakapoenda kuifungulia hiyo kesi nako serikali haitakuwa na uwezo wa ku influence maamuzi.

Hapo kukurupuka kupo wapi? Maana kama ushahidi wanao wa kutosha na wanaendelea kukusanya.

Alichoongea ni sehemu ndogo ya ushahidi uliopo na mengine ameyaongea kwa makusudi kwa lengo la kuwa trigger ili wa react
 
Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Kwa hiyo Lissu ni layman kwenye legal field? Na Mwanasheria wake ni layperson pia?

Kwa kujitambulisha upo field gani ndiyo umejirusha mwenyewe uvunguni mwa semi iliyo kwenye mwendo.

Yaani unajiita legal brain halafu unakuwa mvivu wa kufuatilia details ndogo kama hizi!? Pole kwa wateja wako.
 
Back
Top Bottom