Tundu Lissu ni mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wa upinzani

😂😂😂huyu huyu aliyepinga kufufuliwa kwa ATCL, ujenzi wa stiegler gorge, standard gauge na kuhimiza tanzania tuwe na serikali 3 au mwingine?
 
Exactly, ndiye huyo huyo na ndiye huyuhuyu!

Una matatizo naye?
 
Kwanza hana makandokando, anajua wathirisha hoja, anajua katiba yaani anajua anaochokifanya
Mwamba anajua
Tundu lisu sio mfano wa kuigwa kwasababu kanyamaza issue ya sativa kama vile sativa na watz hawakupiga kelele wakati yeye yupo ICU. imenisikitisha sana. kama hajasikia vile.
 
😂😂😂huyu huyu aliyepinga kufufuliwa kwa ATCL, ujenzi wa stiegler gorge, standard gauge na kuhimiza tanzania tuwe na serikali 3 au mwingine?
Sasa hiyo ATCL kwa mfano inatija ipi kwa Taifa kila mwaka hasara kwa mujibu wa CAG?Ipo haipo au kwako uwepo ni bora kuliko faida??Hiyo ni biashara au ma..tako?CCM akili zenu zinawafaa nyinyi tu.
 
Tija ya kwanza imeboresha na kukuza sekta ya anga kwa upana wake nnchini sehem nyingi zilizokua zimesahaulika sasa zinapata huduma hii kwa urahisi eg katavi nk
Pili ufufuaji wake umechangia pakubwa sekta ya utalii n.k
Swali la kizushi kwako ulishawah hata tumia usafiri huu b4 &after?
 
Back
Top Bottom