Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Sasa si muutangazie umma lengo ni huduma tu na siyo biashara,kuliko kututangazia kila mwaka kupitia CAG kwamba Shirika limepata hasara?!Mimi napanda fisi sijawahi kuwazia ndege za ma CCM nyie.Tija ya kwanza imeboresha na kukuza sekta ya anga kwa upana wake nnchini sehem nyingi zilizokua zimesahaulika sasa zinapata huduma hii kwa urahisi eg katavi nk
Pili ufufuaji wake umechangia pakubwa sekta ya utalii n.k
Swali la kizushi kwako ulishawah hata tumia usafiri huu b4 &after?