Sasa si muutangazie umma lengo ni huduma tu na siyo biashara,kuliko kututangazia kila mwaka kupitia CAG kwamba Shirika limepata hasara?!Mimi napanda fisi sijawahi kuwazia ndege za ma CCM nyie.Tija ya kwanza imeboresha na kukuza sekta ya anga kwa upana wake nnchini sehem nyingi zilizokua zimesahaulika sasa zinapata huduma hii kwa urahisi eg katavi nk
Pili ufufuaji wake umechangia pakubwa sekta ya utalii n.k
Swali la kizushi kwako ulishawah hata tumia usafiri huu b4 &after?
πππ kama msigwaHalafu kesho anaunga juhudi siasa ni tumbo
Je serikali ipo kutoa huduma au kifanya biashara kwa watu wake?Sasa si muutangazie umma lengo ni huduma tu na siyo biashara,kuliko kututangazia kila mwaka kupitia CAG kwamba Shirika limepata hasara?!Mimi napanda fisi sijawahi kuwazia ndege za ma CCM nyie.

Bachelor kasoma UDSMTundu kasoma nje bachelor na masters
mimi sina shida nae ila yeye ndiye mwenye shida ya kuondoa unafuu kweny maisha yangu jaribu kufikiri huo utitiri wa kodi ya kulisha serikali 3π
Hiyo yake sio shida.mimi sina shida nae ila yeye ndiye mwenye shida ya kuondoa unafuu kweny maisha yangu jaribu kufikiri huo utitiri wa kodi ya kulisha serikali 3π