Tundu Lissu ni mmoja tu ila Kaichanganya Serikali yote hawajui wafanye nini

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Tindu Lissu ni mtu na nusu. Yaani yupo gerezani lakini anatema madini hadi waliopo uraiani wanabaki midomo wazi hawana cha kujibu.

Hoja za Tundu Lissu zinakuwa na mashiko na maana kabisa na kila mtu anaona . Kinachobaki ni uonevu tu kwa sababu ya mamlaka ila siyo sheria..

Sisi tupo na Tundu Lissu hadi mwisho na hatupigi kura naana rais wetu yupo gerezani..

Inawezekana kabisa hata huyo jaji wa mahakama kuu hakutarajia hoja za leo. Maana angelijua hukumu angeiandika vinginevyo.

20250813_215347.jpg
20250813_214957.jpg
 
Mungu azidi kumlinda na mbinu ovu za maadui zake....
 
GT
Tindu Lissu ni mtu na nusu. Yaani yupo gerezani lakini anatema madini hadi waliopo uraiani wanabaki midomo wazi hawana cha kujibu.

Hoja za Tundu Lissu zinakuwa na mashiko na maana kabisa na kila mtu anaona . Kinachobaki ni uonevu tu kwa sababu ya mamlaka ila siyo sheria..

Sisi tupo na Tundu Lissu hadi mwisho na hatupigi kura naana rais wetu yupo gerezani..

Inawezekana kabisa hata huyo jaji wa mahakama kuu hakutarajia hoja za leo. Maana angelijua hukumu angeiandika vinginevyo.

View attachment 3440486View attachment 3440487
Bad azz LISSU 💪💪💪
 
Siku zote akili ndogo haiwezi kuishinda akili kubwa. Huyu jamaa ni hazina kwa Taifa. I wish ningekuwa Bwana jela wa Ukonga! Hakika ningekilinda hicho kichwa kwa wivu mkubwa.
 
Back
Top Bottom