GT
Tindu Lissu ni mtu na nusu. Yaani yupo gerezani lakini anatema madini hadi waliopo uraiani wanabaki midomo wazi hawana cha kujibu.
Hoja za Tundu Lissu zinakuwa na mashiko na maana kabisa na kila mtu anaona . Kinachobaki ni uonevu tu kwa sababu ya mamlaka ila siyo sheria..
Sisi tupo na Tundu Lissu hadi mwisho na hatupigi kura naana rais wetu yupo gerezani..
Inawezekana kabisa hata huyo jaji wa mahakama kuu hakutarajia hoja za leo. Maana angelijua hukumu angeiandika vinginevyo.
View attachment 3440486View attachment 3440487