Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kwa sasa nchi ilipofika bila KATIBA MPYA, ni tunapoteza muda.
Huu sio wakati wa kuongoza nchi kwa busara za wazee ambao wengi wao ni marehemu.
Ni muda sahihi wa REFORM ya katiba na katika hili hatuhitaji busara bali katiba mpya !
Mtu pekee atakaeweza kusimamia mapambano ya Katiba mpya ni TUNDU LISSU .
Bila katiba mpya CCM itaendelea kuharibu national resources forever. Imagine karne ya 21 , maji tu vijijini ni shida….. maji tu …. Maji tu , as a country, hii ni aibu.
waandishi wa habari wanaonesha wananchi wakichota maji machafu; ndio rais kupitia video anatoa maelekezo…. How many Tanzanians wanaishi hivyo…. Ni aibu
Reforms ya katiba ni mandatory
Tundu Lissu anaweza kuendeleza haya mapambano ; Ni mkali, hana uoga, alishawahi kuwa na sura ya maiti, amezaliwa kupambania wananchi, hausiki na rushwa wala ufisadi…. Lissu ni tunu kutoka kwa Mungu…….. ni zaidi ya JPM…… he is awake….
Mbowe tu anaona mnataka kumpokonya tonge mdomoni; leo CCM ipitishe mchakato wa katiba ambayo ndio itakuwa chanzo cha wao kutoka madarakani…. ?
IMPOSSIBLE…. Never on earth.
Tunahitaji mtu bandidu kama Tundu Lissu ngumi mkono kwenye mapambano ya katiba mpya…..
Hatuhitaji busara wala maridhiano.
Busara za ma opportunists ni useless
Kinacho hitajika ni mchakato wa katiba Mpya uanze as soon as now once and for all
CHADEMA ubao usome, Mtuletee Tundu Lissu mwamba Kanyooka, hana makando, roho ya Simba, na anamipango thabiti ya mchakato wa katiba kwa namna yoyote huu mchakato ni Lazima unless tunataka nchi ya kisultan kama ilivyo Zanzibar