Hivi wewe hata huwa hujiulizi kabla yakuchangia? Kwenye charge sheet wapi umeona shitaka la mauaji ya viongozi wakati walituaminisha anahusika na mauaji ya viongozi wa serikali.
Ndo maana hii kesi ni ya kisiasa zaidi maana wanachokisema hakiendani na kilichopo kwenye hati ya mashitaka.

Lissu mswahili tuu. Alikua anadai adui yake ni JPM. Sasa mwamba umelala arudi tujenge nchi. Kinyume chake, jamaa atakua mchumia tumbo na kula yake inategemea hadhi ya ukimbizi.