Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Foolish fool huna lolote.Wee wakala wa ibilisi unawezaje kumpangia nafas mtu ambaye mnatamani afe hata kesho!!Huu ni unafiki wa kishetani kabisa!!!By then huko CCM ulikohamia umwekwa kwenye chupa mpaka uwe mpedekezaji wa viongoz wa CHADEMA?Jinga kabisa wew
 
mwacheni Lissu...aendelee kujiuguza.Huyu bado ni mgonjwa...kutaja taja wagonjwa wakati mwingine sio jambo zuri hasa hasa kuwahusisha na siasa.
 

Hakuna na hajawahi kuwepo mtu ambaye ni mbobezi na mtaalamu wa mambo yote ktk maisha....

Uongozi ni kipaji cha kuweza ku - mobilize na kutumia talents zote zinazokuzunguka....

Si lazima Rais awe mchumi, mwanasheria, mwanadiplomasia, daktari nk

Kipaji hiki ndicho anachokikosa John Pombe maana kwake yeye kila kitu ni pombe tu!!
 
Mbona hukuwahi kulizungumzia hili jambo kabla,umesikia gazeti la mwananchi leo ndo unaandika pumba hapa.Lissu anawakosesha usingizi kweli.

Mwenye chuki huwa anaumia yeye.
 
Shida yetu hatuna uvumilivu ktk Uhuru wa kutoa mawazo. Juzi ilikuwa kwa CCM, leo nyinyi wapinzani wenyewe hamheshimiani ktk Uhuru wa kutoa.
 
Wewe dubwana mbona unahaha sana kuanzisha nyuzi leo? Unawashwawashwa sana hawajakukuna huko walikokufuga?
 
sawa
 
Hahahahahahahhahahahahaahhaa...........zito atagombea na lissu atagombea...ni haki yako
 
Ushauri kutoka lumumba
 
Rais gan wa TFF au.jamani tuwe makini wakati mwingine tunapokuja kutoa mawazo ambayo Yanagusa maslahi ya Taifa.who is Zitto by then.Mnataka kulipeleka wap Taifa hili
 
zitto anaweza.
Lissu huwa naona anaexposure nyembamba kwenye mambo ya kisheria zaidi.

Weakness zao wote, watunwa kigoma na Singida hasa wanaume huwa ni wabishi, hawakubali ya wengine hii nayo inaweza kulitia taifa hasara,
 
Kwa hiyo unataka Zito awe raisi kwa kumtoa Magufuli?
 
Hizo kesi tu alizonazo kisutu ni msukosuko tosha, plus risasi 37 za A.K na bado hawakuchukua roho yake, imefunika misukosuko yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…