Tundu Lissu: Niliposhambuliwa walisema nimeshambuliwa na waliotumwa na Mbowe sababu ya kugombea madaraka ya chama

Wazungu wametuharibia mpambanaji wetu, tuliozoea hoja nzito nzito vijana wanaziita "nondo" za Mh. Lissu tunajiuliza kulikoni? Yaani amekuwa mtu wa kuokoteza hoja na mipasho tu. Labda informers wake wamemchoka au ni majira tu yamebadirika?
 
Dikteta mbowe alikuwa amelewa hili hata mtoto mdogo anafahamu, na waliomshambulia ni watu kutoka makundi hasimu ndani ya chademu yaliyosababishwa na udikteta wa ndugu mbowe
Ukiingia 18 zangu nakunyonga
 
stupid alikuwa analewa na mama yako, shenzi kabisa
 
Lissu ndiyo kaongea hivyo tu? Basi na mimi nakuwa na mashaka na hili tukio la Mbowe, tujipe mda kitabu kifunguke.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara) Mhe. Tundu Lissu leo Jumatano, Juni 10, 2020, kuanzia saa 5 asubuhi, atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari, kwa njia ya kidigitali, kuhusu tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe.

Chanzo: ChademaTanzania twitter account

UPDATE

Lissu amesema haya...

Leo Mbowe ameumizwa akiwa kwake na kauli zilezile za kudharau, kukejeli zimeanza kutolewa tena, sasa tunawasikia Viongozi na Watendaji wa Serikali na Wapambe wao ndani na nje ya Bunge wakitoa kauli za kejeli kwamba Mbowe hakushambiliwa.

Abdul Nondo alipotekwa kuteswa na kutupwa Mafinga, hadithi zikawa zilezile za Azory Gwanda na Ben Saanane, kwamba Abdul amejiteka na kujipeleka kwa mchumba wake Mafinga, Polisi iliahidi kuchunguza kwa kina kuhusu kushambuliwa kwangu na hadi leo taarifa haijatolewa na Polisi hawana Mtuhumiwa wala Mshukiwa, kama ilivyokuwa kwangu na hili la Mbowe tunaambiwa tusubiri uchunguzi.

Niliposhambuliwa walisema nilijishambulia mwenyewe, nimejipiga risasi, baadae nimeshambuliwa na waliotumwa na Mbowe sababu ya kugombea Madaraka ya Chama, baadae ikawa uchunguzi hauwezi kufanyika kwasababu CHADEMA wamemtorosha Dereva wangu na mimi nimekimbia kesi.

Kama ilivyokuwa kwangu eneo hilo pia lina ulinzi mkali na wa muda wote, kama ilivyokuwa kwangu Walinzi wote waliondolewa katika eneo hilo, mara hii tumeambiwa ni kwa ajili ya kuwaepusha na corona, mara wanahoji Mbowe alikuwa wapi na anafanya nini usiku wa manane hadi ashambuliwe, wengine wanahoji kwanini alikuwa anatembea peke yake bila mlinzi binafsi, kunywa pombe na kulewa sio kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na halihalalishi mashambulizi.

Tunawaomba Wananchi wote wanaochukizwa na vitendo hivi kuvipigia kelele kila Mahali, tunashukuru Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Balozi wa Nchi za Nje na Taasisi za Kiraia wameanza kulisema jambo hili kwa kulitolea kauli, tunaomba wazidishe kelele hizi.

--

Maoni yangu:
Ingawa tunaambiwa kuna uchunguzi unaendelea, Lissu leo anaweza kuelezea kwa undani tukio zima na wale waliosema Mbowe alikuwa amelewa,wanaweza kuumbuka vibaya. Tukumbuke Mnyika alisema wakati tukio linatokea, Mbowe hakuwa peke yake hivyo leo tunaweza kusikia kuhusu ni kina nani walikuwepo na walishuhudia nini au walitenda nini.

Tusubiri.
Mbowe na Lissu wamepata majaribu makubwa sana.Mungu awepe nguvu ya kutokukata tamaa
 
Tuendelee kuwa hurumia wote wanaopotosha ukweli wa tukio hili kwa kutoa kashifa. Ila kila mpenda haki asichoke daima kulaani shabulizi hili kwa Mbowe na raia yeyote ile hata akiwa wana Ccm. Matukio haya yanalielekeza taifa kwenye machafuko.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara) Mhe. Tundu Lissu leo Jumatano, Juni 10, 2020, kuanzia saa 5 asubuhi, atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari, kwa njia ya kidigitali, kuhusu tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe.

Chanzo: ChademaTanzania twitter account

UPDATE

Lissu amesema haya...

Leo Mbowe ameumizwa akiwa kwake na kauli zilezile za kudharau, kukejeli zimeanza kutolewa tena, sasa tunawasikia Viongozi na Watendaji wa Serikali na Wapambe wao ndani na nje ya Bunge wakitoa kauli za kejeli kwamba Mbowe hakushambiliwa.

Abdul Nondo alipotekwa kuteswa na kutupwa Mafinga, hadithi zikawa zilezile za Azory Gwanda na Ben Saanane, kwamba Abdul amejiteka na kujipeleka kwa mchumba wake Mafinga, Polisi iliahidi kuchunguza kwa kina kuhusu kushambuliwa kwangu na hadi leo taarifa haijatolewa na Polisi hawana Mtuhumiwa wala Mshukiwa, kama ilivyokuwa kwangu na hili la Mbowe tunaambiwa tusubiri uchunguzi.

Niliposhambuliwa walisema nilijishambulia mwenyewe, nimejipiga risasi, baadae nimeshambuliwa na waliotumwa na Mbowe sababu ya kugombea Madaraka ya Chama, baadae ikawa uchunguzi hauwezi kufanyika kwasababu CHADEMA wamemtorosha Dereva wangu na mimi nimekimbia kesi.

Kama ilivyokuwa kwangu eneo hilo pia lina ulinzi mkali na wa muda wote, kama ilivyokuwa kwangu Walinzi wote waliondolewa katika eneo hilo, mara hii tumeambiwa ni kwa ajili ya kuwaepusha na corona, mara wanahoji Mbowe alikuwa wapi na anafanya nini usiku wa manane hadi ashambuliwe, wengine wanahoji kwanini alikuwa anatembea peke yake bila mlinzi binafsi, kunywa pombe na kulewa sio kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na halihalalishi mashambulizi.

Tunawaomba Wananchi wote wanaochukizwa na vitendo hivi kuvipigia kelele kila Mahali, tunashukuru Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Balozi wa Nchi za Nje na Taasisi za Kiraia wameanza kulisema jambo hili kwa kulitolea kauli, tunaomba wazidishe kelele hizi.

--

Maoni yangu:
Ingawa tunaambiwa kuna uchunguzi unaendelea, Lissu leo anaweza kuelezea kwa undani tukio zima na wale waliosema Mbowe alikuwa amelewa,wanaweza kuumbuka vibaya. Tukumbuke Mnyika alisema wakati tukio linatokea, Mbowe hakuwa peke yake hivyo leo tunaweza kusikia kuhusu ni kina nani walikuwepo na walishuhudia nini au walitenda nini.

Tusubiri.

Huyu mjusi pori naye !
 
Dikteta mbowe alikuwa amelewa hili hata mtoto mdogo anafahamu, na waliomshambulia ni watu kutoka makundi hasimu ndani ya chademu yaliyosababishwa na udikteta wa ndugu mbowe
Tafadhali, wewe na wengine mliyoshuhudia, pelekeni haraka taarifa na vielelezo vyako polisi
 
Ukiingia 18 zangu nakunyonga
Kunyonga mtu unadhani ni kazi ya kuingia bafuni ukakojoa na kutoka, Ni Hadi uwe rafiki wa shetwani, na Kwa wewe huwezi kuwa rafiki wa shetwani mrembo

Lakini umnyonge Kwa ubaya upi, kusema mshikaji alipombeka?

Mbona wengi tu ambao hupombeka, tena Bora huyo Jamaa aliteleza tu ngazi Kwa akateuka mguu, kunawengine hujikojolea na kujinyea
 
Kwani mbowe si anawalizi wake je walikuua WaPi ??

Back
Top Bottom