Tundu Lissu: Niliposhambuliwa walisema nimeshambuliwa na waliotumwa na Mbowe sababu ya kugombea madaraka ya chama

Wazungu wametuharibia mpambanaji wetu, tuliozoea hoja nzito nzito vijana wanaziita "nondo" za Mh. Lissu tunajiuliza kulikoni? Yaani amekuwa mtu wa kuokoteza hoja na mipasho tu. Labda informers wake wamemchoka au ni majira tu yamebadirika?
 
Dikteta mbowe alikuwa amelewa hili hata mtoto mdogo anafahamu, na waliomshambulia ni watu kutoka makundi hasimu ndani ya chademu yaliyosababishwa na udikteta wa ndugu mbowe
Ukiingia 18 zangu nakunyonga
 
Dikteta mbowe alikuwa amelewa hili hata mtoto mdogo anafahamu, na waliomshambulia ni watu kutoka makundi hasimu ndani ya chademu yaliyosababishwa na udikteta wa ndugu mbowe
stupid alikuwa analewa na mama yako, shenzi kabisa
 
Lissu ndiyo kaongea hivyo tu? Basi na mimi nakuwa na mashaka na hili tukio la Mbowe, tujipe mda kitabu kifunguke.
 
Reactions: mmh
Mbowe na Lissu wamepata majaribu makubwa sana.Mungu awepe nguvu ya kutokukata tamaa
 
Tuendelee kuwa hurumia wote wanaopotosha ukweli wa tukio hili kwa kutoa kashifa. Ila kila mpenda haki asichoke daima kulaani shabulizi hili kwa Mbowe na raia yeyote ile hata akiwa wana Ccm. Matukio haya yanalielekeza taifa kwenye machafuko.
 

Huyu mjusi pori naye !
 
Dikteta mbowe alikuwa amelewa hili hata mtoto mdogo anafahamu, na waliomshambulia ni watu kutoka makundi hasimu ndani ya chademu yaliyosababishwa na udikteta wa ndugu mbowe
Tafadhali, wewe na wengine mliyoshuhudia, pelekeni haraka taarifa na vielelezo vyako polisi
 
Ukiingia 18 zangu nakunyonga
Kunyonga mtu unadhani ni kazi ya kuingia bafuni ukakojoa na kutoka, Ni Hadi uwe rafiki wa shetwani, na Kwa wewe huwezi kuwa rafiki wa shetwani mrembo

Lakini umnyonge Kwa ubaya upi, kusema mshikaji alipombeka?

Mbona wengi tu ambao hupombeka, tena Bora huyo Jamaa aliteleza tu ngazi Kwa akateuka mguu, kunawengine hujikojolea na kujinyea
 
Kwani mbowe si anawalizi wake je walikuua WaPi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…